Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,755
- 25,388
Sawa umeongea ukweli lakini maneno makavu sana,sie dunia ya tatu tunaishi kijamaa sana.ndo maana misiba na maharusi inajaza watu wengu wakiwa hawana mahusiano yoyote ya karibu na wenye shuhuli husika.
Mkuu
Unachosema ni sawa.
Ila mkuu hii trend inabadilika,sio sawa na zamani.
Inabadilika taratibu,step by step.
Harusi za zamani zilikua hazina kadi,sasa hivi ukumbini unaingia tu kwa mualiko wa kadi maalum,zamani kijijini mtu hazuiwi mlangoni.Sasa hivi harusi au msiba ni exclusive event,hatujiendei tuu kama zamani za machifu.
Sasa hivi,shida zinakua exclusive issues kwa mtu na watu wake ndio wanajuana wao tabia zao na maisha ya staili gani wanaishi ndio maana wanaombana mikopo ya hapa na pale.Tatizo ni kuiingiza jamii nzima mizigo yako sababu tu unaitwa Mamdenyi ulianza JF 2011 na una follower wengi sana.Hii ni social leverage,kutumia umaarufu kua ombaomba.This is wrong!