Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,755
- 25,388
Ulivyo mjinga ukashindwa connect the dot nilipomalizia na KISA ANA MALI YA KUWEKA BANK. unazani kama angekuwa na mali angeshindwa jaribu iweka bank apate mkopo atajua anaulipaje!?..
Haya friends na family unakuta wana hela ya kula apate wapi, halafu JF kuna watu wamekaa pamoja muda mrefu mpaka wamekuwa kama ndugu wa mbali, kuna watu wamefikia kuwa na wake/mme humu we na roho lako unazani utajua hilo!.
Unapomsaidia mtu msaidie bila kinyongo akikutapeli karma is around!..
Nafunga huu mjadala kwa upande wangu.
Maelezo mengi kuvuta matukio yawe kwenye hoja yako!
Mzee JF ni public area.Sio private area,private area ni DMs tu.
Hao uliokaa nao sana JF mpaka ukawa ndugu kwanini usifate DMs mkasaidiana nyie?
Umeweka kwenye thread public kuomba msaada kwenye public,public tuna haki ya kusema chochote.Undugu wako na baadhi ya watu wa JF haukupi uhalali wa kuweka matatizo yako hapa hadharani,wafate kwenye DMs.
Kuweka matatizo yako kwenye hadhara ya JF kuna tofauti gani na kuweka bakuli hadharani pale Ubungo?
I really hate it when some people think their problems are worthy public attention than others!Keep it for yourself like the rest of us we are doing,huo ndio ustaarabu!
Na msitutishe!Tuna haki ya kuongea tukitakacho,mmetuletea public hapa!