Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Ha haha we akili yako unaijua mwenyeweKwa hiyo mamy unanitukana kwa namna nyingine kwamba huwa sinaga akili...! Kai kai
Nimemwachia muumba.
Ha haha we akili yako unaijua mwenyeweKwa hiyo mamy unanitukana kwa namna nyingine kwamba huwa sinaga akili...! Kai kai
Nimemwachia muumba.
Btw,Ha haha we akili yako unaijua mwenyewe
Nimepokea mizawadi mpaka yanilemea.... Njoo unisaidie zingineBtw,
heri ya siku ya ufunguzi wa zawadi za Valentine.
Sasa kama amewaomba hao uliowataja na hakupata ulitaka akajiuze ili apate hiyo hela? haya maisha tu ipo siku utaelewa kwanini watu huwa wanaomba msaada!
Sasa tukifika SAE tunaanzaje kumuuliza maana hujatoa location halisi nyumba ilipo. Mie nimekuja kikazi mbeya nimefikia hapa Golden City Hotel SAE
Tunaomba uweke kiwango hapa cha ulichochangiwa kufanikisha safari yako na mahitaji yako ya kuuguza Mume wakoSae hapo kwa mr 2 sugu, ulizia kwa siame;
ni jirani sana;
asante.
Sae hapo kwa mr 2 sugu, ulizia kwa siame;
ni jirani sana;
asante.
Sawa umeongea ukweli lakini maneno makavu sana,sie dunia ya tatu tunaishi kijamaa sana.ndo maana misiba na maharusi inajaza watu wengu wakiwa hawana mahusiano yoyote ya karibu na wenye shuhuli husika.Watu wa JF waje kwako kufanya nini hasa!?
Mbona watu mnapenda sana attention za wananchi?
Hii ni social enterprising of some sort!
In principle,unapenda sana kushirikisha watu mambo yako,you can not live without people dependence!
Unapenda ku-depend kwa watu on your issues!Thats the bottomline!
Sawa sawa. Naanza kukushirikisha kwa hili QUIGLEY naomba unipige tafu 1,000,000/= nina shida kidogo. yaani namaanisha unisaidie kama ka 1m tu. nataka wikiendi hii kwenda saluni, kufurahi na marafiki zangu, halafu nipeleke rejesho kwenye VICOBA, pia nilale hoteli ya kifahari kwa kesho na Jumapili.😉😉😉Unajua mtu akiamua kufunguka kuhusu hali yake AMEKUHESHIMU SANA umefanya vyema sana mrembo wangu, nawe usiache kunishirikisha jmn
Hizo siyo shidaSawa sawa. Naanza kukushirikisha kwa hili QUIGLEY naomba unipige tafu 1,000,000/= nina shida kidogo. yaani namaanisha unisaidie kama ka 1m tu. nataka wikiendi hii kwenda saluni, kufurahi na marafiki zangu, halafu nipeleke rejesho kwenye VICOBA, pia nilale hoteli ya kifahari kwa kesho na Jumapili.😉😉😉

Yaani mtu alikuacha na mateso Leo unamfata kumuuguza .hyo roho sina nakupenda sana ila sikupi hata mia tuma cv za watoto tuwatafutie kaziSae hapo kwa mr 2 sugu, ulizia kwa siame;
ni jirani sana;
asante.
Wewe kama hutaki achaWatu wa JF waje kwako kufanya nini hasa!?
Mbona watu mnapenda sana attention za wananchi?
Hii ni social enterprising of some sort!
In principle,unapenda sana kushirikisha watu mambo yako,you can not live without people dependence!
Unapenda ku-depend kwa watu on your issues!Thats the bottomline!
Hata huo uliochagua nao ni mchangoYaani mtu alikuacha na mateso Leo unamfata kumuuguza .hyo roho sina nakupenda sana ila sikupi hata mia tuma cv za watoto tuwatafutie kazi
Ila hauendi kwa huyo bazazi heart breakerHata huo uliochagua nao ni mchango
Alafu kuuguza kwnyw huna uwezo, unaomba usaidiwe! Hv ukifika unasemaje? Nimekuja kuuguza mzazi mwenzangu? Na mkewe anakukaribisha kabisa? Haya ile umefika leo, kesho mgonjwa kafa (God forbid) si utashikwa uchawi? Haki wanawake wakati mwingine matatizo tunajitafutia wenyewe tu bila sababu za msingi..I am a christian, Na ninajitahidi sana kubadilika. Kwa suala hilo itategemea na vitu vingi. Unitelekeze ule ujana peke yako, uzeeni uugue hlf utegemee nikuuguze. Mungu anisaidie yasinitokee!
Wacha akachunwe ngozi huko.hayo mambo hayamuhusu.hv anaenda kumuuguzaje kwanza? Nani anamtaka huko by the way?Alafu kuuguza kwnyw huna uwezo, unaomba usaidiwe! Hv ukifika unasemaje? Nimekuja kuuguza mzazi mwenzangu? Na mkewe anakukaribisha kabisa? Haya ile umefika leo, kesho mgonjwa kafa (God forbid) si utashikwa uchawi? Haki wanawake wakati mwingine matatizo tunajitafutia wenyewe tu bila sababu za msingi..
Nafikiri hujasoma kifungu kwa kifungu, amepigiwa simu na shemeji yake, kwa maana nyingine ameitwaAlafu kuuguza kwnyw huna uwezo, unaomba usaidiwe! Hv ukifika unasemaje? Nimekuja kuuguza mzazi mwenzangu? Na mkewe anakukaribisha kabisa? Haya ile umefika leo, kesho mgonjwa kafa (God forbid) si utashikwa uchawi? Haki wanawake wakati mwingine matatizo tunajitafutia wenyewe tu bila sababu za msingi..