Ninauguliwa na baba watoto wangu

Ninauguliwa na baba watoto wangu

Status
Not open for further replies.
U
Asanteni kwa wote mlioguswa na ujumbe wangu huu;
Mungu awabariki tu jamani;

Kuna aliyeuliza kama nilishaingia mahusiano mengine, jibu ni hapana;
nilikuwa na changamoto kubwa ya kusomesha sikuweza tena kuanza mahusiano.

Yupo pia alieuliza why nimekosa nauli, hapa siwezi kusema sana ila kweli
hela ingekuwepo wala nisingekuja huku;

Naomba niweke tu namba yangu kwa ajili
ya hao wapendwa waliouliza huko juu 0755 557094.

Asanteni sana!
NAMFAHAMU JANETH SIAME?
 
Pole sana dada/mama,
Matatizo yapo na hakuna aliyeumbiwa matatizo, huo ni wakati tu, UTAPITA.

2001-2018 = 17
Sitaki kuhoji sana ila tu nimeguswa na hilo tatizo lako..
Tujulishane ni njia ipi itatumika ili kukuwezesha kwa chochote tutakachobarikiwa.

Haka kamstari katakufaa pia,

Zaburi 121
Nitayainua macho yangu niitazame milima, msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu u katika bwana aliyezifanya mbingu na nchi.
MMMH MACHOZ YAMENTOKA Y? SIJUI KWANINI
 
Asanteni kwa wote mlioguswa na ujumbe wangu huu;
Mungu awabariki tu jamani;

Kuna aliyeuliza kama nilishaingia mahusiano mengine, jibu ni hapana;
nilikuwa na changamoto kubwa ya kusomesha sikuweza tena kuanza mahusiano.

Yupo pia alieuliza why nimekosa nauli, hapa siwezi kusema sana ila kweli
hela ingekuwepo wala nisingekuja huku;

Naomba niweke tu namba yangu kwa ajili
ya hao wapendwa waliouliza huko juu 0755 557094.

Asanteni sana!

Pole sana dada Mamndenyi, Mungu atafungua milango ya baraka, nauli utapata na mgonjwa atapona kwa jina la Yesu Kristo aliye hai
 
Eti shemeji kampigia simu kumpa taarifa za ugonjwa.... Kweli tunatofautiana akili na maamuzi. Hii haimuhusu hata robo, labda mara mia angesema anaomba msaada wa nauli ya watoto wakamuone baba yao mgonjwa, hii ingeleta maana sana kuliko hilo la yeye kwenda.
Jamani eee, wakati mwingine pia tusiwe tunasahau vimira vyetu ingawa vinaweza kuonekana vya ovyo! Ni hivi kuna makabira mengine kama kule nitokako Mimi, ukishazaa watoto na mwnamke au mwanaume fulani kisha mkaachana, wakati Wa matatizo ya kijamii hasa ugonjwa au kifo, watu hawa watafarijiana watoto wakiwa kama ni bond kati yao. Hapa huyu mama anafanya anayoyafanya kwa heshima ya watoto wake basi. Na watoto wake wangekuwa na uwezo Wa kwenda mbeya kumwona baba yako, isingelikuwa lazima kwa Mamdenyi kwena huko. Na shemeji yake anamjulisha juu ya ugonjea wa ex wake kwa vile hao wawili wana watoto ambao bado wanalelewa.
 
Hawajawai kuwalelea hata siku moja
 
Watu wengi wenye majibu kama haya no wale waliozaliwa familia za kimasikini mmekuja mjini kwa shemeji zenu mmeanza kulalia godoro na kuficha chenji za jikoni mnunue vocha alafu mnakuja kujivimbisha humu ngoja dada yako aachike urudi kijijini ndo utaelewa kwanini watu wanaombaga msaada!

Kayaman

Umeishia kubashiri weee lakini mwisho wa siku umeishia kukosea.

Sijawahi ishi kwa ndugu,sina dada,sina shemeji...vyote umebashiri kibwege.

Tatizo huaikabili hoja,unaonesha uganga na uaguzi wako kuhusu watu...

Shida tunapata wote,hizo laana zako ni kichekesho kitupu maana wote tunapata shida na hatuwezi kwepa.Ninapopata shida ndio mahali pake maana tumeumbiwa shida.

Tatizo ni uduwanzi wa kubebesha jamii shida zako ambazo wote tunazo the same!
 
unajua matatizo ni kama makalio hakuna ambae anakosa kabisa ila tu yanatofautiana ukubwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom