dabluz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 2,455
- 1,676
Saa nyingine kumjulia hali mgonjwa ni zaidi ya matibabu.Nimeguswa, ila ushauri tukikuchangia bora utume za matibabu akipona mpange taratibu mtembeleane.
Amini mkuu
Saa nyingine kumjulia hali mgonjwa ni zaidi ya matibabu.Nimeguswa, ila ushauri tukikuchangia bora utume za matibabu akipona mpange taratibu mtembeleane.
Na wewe pia.Asante sana mwanangu,
Hela imefika, Mungu akubariki.
Asante.
Mkuu unaweza kutuma kwa kuchagua kutuma mitandao mingine sahivi inawezekana siyo lazima yeye awe na airtel.Hapana mimi niko na hela kwenye airtel money sina sehemu nyingine kwasasa maana naamini kutunza humo kuliko nmb nnayochukulia mshahara.
Mara nyingi nazitoa zote bank na kuziweka huko nenda basi kwa wakala hata sasa hivi.
Au weka namba ya uhakika airtel.
Kashatoa namba hapo kwa michango, sasa PM unataka kumuombea kabisa ama vipi.!Dada yangu pole kwa kuuguliwa ... tuonane Pm ili nione nikusaidieje japo soda ya njiani.
Yote muhimu, ukiambiwa mtu anaumwa sana ni vyema umuone phisicallyNimeguswa, ila ushauri tukikuchangia bora utume za matibabu akipona mpange taratibu mtembeleane.
Nilikua sijui maana mara nyingi situmi natoa.Mkuu unaweza kutuma kwa kuchagua kutuma mitandao mingine sahivi inawezekana siyo lazima yeye awe na airtel.
Ila hukusema nauli ya kwenda huko kama nilivyouliza post ya mwanzo...ila kwa kua sikupata jibu nimeona bora nikutumie hicho kiasi kidogo maana hu kunipa makisio.Ameshatuma,
Asante kwa ushauri wako;
Ndio maana siku hizi ninakupendaPole mtani wangu, jioni nitakurushia ngoja nitoke kibaruani. Nimevaa viatu vyako, nimelewa, pole sana. Jioni nitarekebisha
😀😛😀😛 nimemhurumia sana maana ukiona mtu ameamua kueleza shida yake ya kifamilia basi ujue kweli katingwa. Hela kitu gani mkuu QUIGLEY hadi ifanye watu tushindwe hata kupeana tafu kwa vitu vya kijamii kama hivi!!! nime feel hali aliyonayo mtani wangu. Tayari nimemrekebishia kidogo nilichojaliwa.Ndio maana siku hizi ninakupenda
@Aspirin nisipokuona hapa sitakuelewaAmeshatuma,
Asante kwa ushauri wako;
😀😛😀😛 nimemhurumia sana maana ukiona mtu ameamua kueleza shida yake ya kifamilia basi ujue kweli katingwa. Hela kitu gani mkuu QUIGLEY hadi ifanye watu tushindwe hata kupeana tafu kwa vitu vya kijamii kama hivi!!! nime feel hali aliyonayo mtani wangu. Tayari nimemrekebishia kidogo nilichojaliwa.
Unajua mtu akiamua kufunguka kuhusu hali yake AMEKUHESHIMU SANA umefanya vyema sana mrembo wangu, nawe usiache kunishirikisha jmn😀😛😀😛 nimemhurumia sana maana ukiona mtu ameamua kueleza shida yake ya kifamilia basi ujue kweli katingwa. Hela kitu gani mkuu QUIGLEY hadi ifanye watu tushindwe hata kupeana tafu kwa vitu vya kijamii kama hivi!!! nime feel hali aliyonayo mtani wangu. Tayari nimemrekebishia kidogo nilichojaliwa.