Ninatafakari sana juu ya upasuaji wa miili (marekebisho) ya akina dada matokeo yake miaka kadhaa mbeleni baada ya upasuaji huo

Honestly ningekuwa na 'ela' ningeenda kuifanyia mafekeche hii pua
Wewe pua tena imekuwaje? Kama ingekuwa inawezekana ningekupungizia ukawa na kapua karefu uepukane na hayo nadhara ya kuchonga pua.
Mungu ni mwema ukibahatika kuingia kwenye ndoa angalia mkaka mwenye pua ndefu watoto watatoka vizuri.kumbuka 80% watoto wanafananaga na baba. Kwetu wote tunafanana na baba na babu mzaa baba.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pole sana si ungetumia kioo kuona kama imekaa sawa lol!!!

Huko si pangu nishakubali, nilipaka lipstick ikavuka hadi mistari ya lips nilijiona kituko, chap nikakimbia kunawa, hakuna siku nilijiona vibaya km ile
 
Chief ninakitafakari na kujiuliza ni madhara gani yatatokea miaka kadhaa baada ya kubadilisha mwili?hapo ndipo ilipo tafakari Chief
Mbona nchi nyingine wameanza hii plastic surgery miaka mingi nyuma? Tangu kwenye 1960s huko.

Kutokea kwa madhara inategemea unafanya surgery mara ngapi na kwa sehemu gani ya mwili. Pia wale experts wa uhakika wanakuwa ghali sana hata huko Marekani na Ulaya. Nchi za dunia ya tatu kama Latin America zina matapeli ambao wanaweza kukufanyia at your own expense.

 
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
Changamoto Hayo Ni Mambo Ya Cash
Watu Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Level Yetu Kuweka Meno Bandia


Kwenye Wo~Wo ~Wo,Chu~Chu Konzi, Pua, Tumbo, Macho
Uchongaji Huo Wanaweza Hao Wenye Garage Nzuri Haa Teh
Majuu Huko,
Hahaha masta bhana..kwamba zaidi ya meno ya bandia hatuna maajabu sio

Aiseh πŸ₯Ί
 
Mimi binafsi nikijua kama KE kaongeza matiti au makalio au kairemba K yake vile atakavyo kwa surgery nakaa naye mbali huyo lakini shida ni namna ya kuwajua wa hivyo. Na hii hali inazidi kushamiri wakati mwingine hata ukimuona mzuri wa kila kitu naturally unaanza kudhani visu vimempitia.
Wenye uzuri wa asili na wa kutengeneza kidogo wanafanana..

BAK baba ni kugumua sana huko tunakoelekea jaman

Ingawa wanakaa na muonekano mzuri pia.
Wengine ngoja tuendelee kukaa kama Asha boko hakuna namna
 
Acha tu Chakorii siku hizi hadi K inatengenezwa vile atakavyo mteja kwa kuchagua sample mbali mbali kwenye catalogue. Ilianzia Brazil hii lakini sasa hii surgery inazidi kupata umaarufu katika nchi nyingi duniani eti kisa wanataka muoenako wa K uwe kama ua hivi
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Wenye uzuri wa asili na wa kutengeneza kidogo wanafanana..

BAK baba ni kugumua sana huko tunakoelekea jaman

Ingawa wanakaa na muonekano mzuri pia.
Wengine ngoja tuendelee kukaa kama Asha boko hakuna namna
 
Hahaha juzi Kuna mitaa nilikatiza nilikutna na wanawake wamejikoboa sawasawa, Mimi nina rangi ya kahawia ya asili ila nilionekana cheusi, nilitamani niwe black nisingehangaika na vipodozi vya kujichubua,Sasa na hizo sajari ndo itafikia huko
Cha msingi ni kuridhika na kumshukuru kwa jinsi ya uumbaji wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom