Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,157
- 111,070
Hivi ushaanza mazoezi wewe mtu?
He he he, kupendeza ni zaidi ya umbo
Na kama umbo linaangua, unanoa msasa akili, basi wazidi kuonekana mrembo tu.
Kuishi ni kupanga, na kupanga ni kuchagua.