Ninahitaji msaada wenu jinsi ya kupunguza matiti

Ninahitaji msaada wenu jinsi ya kupunguza matiti

Vasilisa mzuri, hakuna mwanamke mbaya kwa umbo. jifunze kuvaa kulingana na umbo lako. nawajua wadada wengi wenye maziwa makubwa wanajiweka vizuri sana, tafuta mishono na nguo inayoendana na umbo lako, preferably magauni utapendeza tu. ungekuwa na miguu miembamba ungeipnenepeshaje?

Nimekuwa member hapa muda mrefu hii ni id yangu ambayo hata jf friends wangu hawijui

Mimi ni mama wa watoto wawili mmoja 5yrs mwingine 3yrs umbo langu kabla ya kujifungua halikuwa kubwa lakini nilpopata mimba niliongezeka sana. nimejitahidi nimefanya mazoezi kupunguza uzito lakini manyonyo yamekataa kupungua hata kidogo. Nimebaki kuwa na kifua cha DDD cup wakati kabla sijazaa nilkuwa C cup.

Nahitaji kujua zaidi ya upasuaji kuna njia nyingine inayoweza kupunguza maziwa. Nahitaji msaada wenu naonekana vibaya mno na nguo hata hazinikai vizuri. nimeishia kuvaa jeans na t-shirts kubwa tu. Na mume wangu hapendi ninavyoonekana na amekuwa akisema bila kuficha.

Vasilisa mzuri kabisa
 
Huwa najiuliza...!

Sisi wanaume tukipewa upofu wa macho kwa kama mwaka mmoja, hivi kwa hawa tuwapendao tungepunguza nini? Au kama hatujapenda je wale watakaojitokeza tutawapenda kwa vigezo gani?

Na kinachompendezesha mwanaume ni kweli hupitia machoni pekee?...(nadhani tamaa ndio hutumia njia hii!)
Na hasa anachokipenda kwa dhati mwanaume kinapitia wapi?

Huyo mwenzetu bila shaka mkiwa kwenye 6x6 huwa anavuta sura za vimwana alivyoviona huko mitaani ili kutimia...Hakukupenda huyu kwa ile misingi hasa ya kupenda! Mbona mimi nampenda lara 1 hata sijamuona! (Naomba nipigwe upofu halafu ndio nikutane naye ili haya mengine yasiniingilie...lol)

Huyo ingepaswa amwagiwe tindikali ya macho awe mpofu kabisa!

BTW: Napenda sana wanawake wenye hoteli kubwa kwa ajili ya wanangu!

Kumpenda mwanamke ni zaidi ya tujuavyo wanaume! Lara 1 na wana JF wengine wametupa sana elimu hiyo. Tupende wenzi wetu (na zaidi) wake zetu waliotuzalia watoto zaidi ya chochote kinachotuzunguka! Muonekano wake uwe chanzo cha tabasamu kinywani na mioyoni mwetu, na mapenzi yetu kwao yakue kila kukicha! Kwa wale wenye hofu ya Muumba na wanaojua kuwa HUJAFA HUJAUMBIKA, basi wangewachukulia wake zao kama tunu!

Huyo jamaa ni pum.b.fu kabisa! Nawachuki sana watu(wake/waume) wanaowatenda na kuwasababishia wenzi wao maumivu kwa namna yoyote ile!
 
Mmewako takuwa anamatatizo binafsi na dunia ina muendesha tu. Dada angu upo vizur tu wala asikuhadae huyo jamaa kama hajui jinsi ya kuyatumia akwambie tu. Hajui kwamba utamu wa wanawake wakinantu ni matit makubwa na wowoo. Mwambie tunao yajua hayo na kuya thamini tunajiuliza tutakupata lini tukuweke ndan tena tukufungie ndan mbali kabisa mwingine asije akakuchukua.
 
yani hata nami acha nichangie hapo besti kwani umenikuna vilivyo
wewe mwanamke kwanini uvunjike moyo kisha shepu au mwili
kwani mungua alivyokuumba si aliona vyema uwe hivyo kwanini
unaona watu wanakuona uko vibaya na wakati umeumbika vyema?
Mungu alimfanya kiila mtu kwa mfano wake na uzuri wake
hivyo usibabaike na mitazamo ya watu wengine

hamjamuelewa jamani
huyu alikuwa na matiti madogo na mumewe aliyapenda hayo,
sasa amezaa yameongezeka mumewe bado anapenda madogo ndo kinachomsumbua
ni tatizo la kiakili saikolojia, wengine mbona tunayapenda hayo makubwa!
 
Ushauri wangi ni kuwa fanya mazoezi kama jogging, weight lifting na aerobics kwani kwa mazoezi utapunguza mafuta ya ziada ambayo unayo. Lakini ufahamu vilevile inawezekana ukubwa wa matiti hayo unatokana na genes zako
 
Huwa najiuliza...!

Sisi wanaume tukipewa upofu wa macho kwa kama mwaka mmoja, hivi kwa hawa tuwapendao tungepunguza nini? Au kama hatujapenda je wale watakaojitokeza tutawapenda kwa vigezo gani?

Na kinachompendezesha mwanaume ni kweli hupitia machoni pekee?...(nadhani tamaa ndio hutumia njia hii!)
Na hasa anachokipenda kwa dhati mwanaume kinapitia wapi?

Huyo mwenzetu bila shaka mkiwa kwenye 6x6 huwa anavuta sura za vimwana alivyoviona huko mitaani ili kutimia...Hakukupenda huyu kwa ile misingi hasa ya kupenda! Mbona mimi nampenda lara 1 hata sijamuona! (Naomba nipigwe upofu halafu ndio nikutane naye ili haya mengine yasiniingilie...lol)

Huyo ingepaswa amwagiwe tindikali ya macho awe mpofu kabisa!

BTW: Napenda sana wanawake wenye hoteli kubwa kwa ajili ya wanangu!

Kumpenda mwanamke ni zaidi ya tujuavyo wanaume! Lara 1 na wana JF wengine wametupa sana elimu hiyo. Tupende wenzi wetu (na zaidi) wake zetu waliotuzalia watoto zaidi ya chochote kinachotuzunguka! Muonekano wake uwe chanzo cha tabasamu kinywani na mioyoni mwetu, na mapenzi yetu kwao yakue kila kukicha! Kwa wale wenye hofu ya Muumba na wanaojua kuwa HUJAFA HUJAUMBIKA, basi wangewachukulia wake zao kama tunu!

Huyo jamaa ni pum.b.fu kabisa! Nawachuki sana watu(wake/waume) wanaowatenda na kuwasababishia wenzi wao maumivu kwa namna yoyote ile!

CC lara 1
ww tu hapo mdogo wangu!
 
Last edited by a moderator:
[h=1]How to Decrease Breast Size After Baby's Birth[/h]by MiShaun Taylor, Demand Media
When you are pregnant, you will probably find that your breasts have grown quite a bit. In fact, some women may need to move up several bra sizes. While some women are excited about having bigger breasts, others are more than ready to return to their normal size.

Sponsored Link
Childrens Parties
The Ultimate Kids Party Venue - F1 Racing Simulator Centre, Hampshire
TheRaceCentre.co.uk​/​Kids_Parties

Step 1Understand that this is not your final breast size. Many women assume that the breasts they have directly after the baby’s birth are theirs to keep. Most of the time, this is not true. In fact, if you’re breastfeeding, your breast size is sure to decrease once you’ve weaned your child off the breast. The milk will no longer fill the glands in your breasts, allowing them to return to their normal size. So expect your breast size to decrease once your body has completely returned to normal and you have stopped breastfeeding.

Step 2Start a great new exercise plan. Another thing that reduces breast size is exercise. Since most of the breast volume is fatty tissue, losing weight will also help you decrease your breast size. You should focus on fat-burning exercises and limit your sugar intake so that you will reduce more of your body fat. When you begin to tone and shape your body, you will notice that your breast size also decreases. This is simply the reduction of the fatty tissue present in your breasts.

Step 3Try breast reduction supplements or pills. Many of these supplements contain herbs which naturally balance out the female hormones, often reducing breast size. Others, like Alexia, are taken one or two times a day and claim to burn excess fat in the mammary glands which inevitably decreases breast size. Research is required in order to ensure that the supplements are safe–and as always, you should check with your doctor first. This is especially true if you are still breastfeeding, since many herbs will travel through your breast milk to your baby.

Step 4Try breast reduction exercises. There are also specific exercises which target the breasts and help you tone them, reducing the amount of fat which is present. For instance, both push-ups and chin-ups will help build your pectoral muscle, toning the breasts and removing the fat. While this will only be a small decrease, it will reduce the size some. With the toning, you will find that your breasts are firmer and may even become perkier.

Step 5Try breast reduction surgery. If you’re really unhappy with your larger breasts, breast reduction surgery could be an option for you. Basically, some of the fatty tissue is removed, making the breasts smaller. However, this surgery is not for everyone. This is something that should be discussed with your doctor before you make a decision. If you would like to find a qualified physician in your area, ask for referrals from your primary care physician or visit sites like Find a Doctor | LocateADoc.com, a site that provides you with comprehensive information about plastic surgeons specializing in breast reduction.

Back
Top Bottom