Ninahitaji msaada wenu jinsi ya kupunguza matiti

Ninahitaji msaada wenu jinsi ya kupunguza matiti

underestimating???
Kwako ni perfect but kwa huyo mama yake sio u see the difference?
Na ndio tunakuja kwnye solution
ni kupunguza size tu Ili self esteem yake irudi normal
unanielewa wewe
wewe hata hulijui ulisemalo lol I am not even surprised!
 
.... Nahitaji msaada wenu naonekana vibaya mno inua your self esteem. wewe ni mzuri ndio maana mume wako akakupenda na kukuoa, u got kids and people who love you. na nguo hata hazinikai vizuri. nimeishia kuvaa jeans na t-shirts kubwa tu. badili dress style yako. hata mtu mnene anaweza kuvaa na kuonekana mrembo Na mume wangu hapendi ninavyoonekana na amekuwa akisema bila kuficha. mumeo ni kiazi

Vasilisa mzuri kabisa
my response
 
Nachelea kusema mumeo hajui jinsi ya kuyatumia matiti makubwa kuna 6*6, awaulize wataalam wa hayo na akitokea akaonja penzi la majimama ya kinoklein wenye matiti xxl then akirudi home hutomuona akikwambia uyapunguze utaskia darling twende uwanjani we unamrembulia tuu hata kama jicho kavu looh
 
ahhhahaahhaha sina munkari best!
najaribu tu kuweka some stuff kichwani kwa watu
haya makitu ya kujikana haya kuna siku watu watajichoma moto humu!
enh!
hujambo lakini ile twishen vip?
sijambo kungwi. twisheni nakusubiri ukiwa tayari nikuoneshe
 
Ujue tu kuwa mumeo keshapata mdoogo mdoogo hukooo mtaa wa kando,
atakuchangaya mwisho wa siku utabaki kuuguza kansa ya manyonyo
wakati yeye anaendelea kula bata;
 
hajajikubali huyo,sa huyo mwanaume kama alimuoa miaka hiyoooo

anadhani atakuwa vile vile tuuu,

btn naona una ham na mtoa mada umeshikiliaje bango lol!!
ahahahhahahhahahha katika vitu sivipend my dear ni mtu kutokujithamini!
sina tatizo na kuweka mwili uwe na afya,sina na mtu kuikeep smart wala hila na mtu kujimake!
INAPOFIKA WAKATI MTU ANAPOSHINDWA KUJUA YEYE NI ZAID YA MWILI WAKE hapo mi ndo napotamaniga(hiki kiswahili kanifundisha kingosho hiki) kulia!
 
Last edited by a moderator:
he he he, hebu mtie kelbu ya ya kwangu

Mie zombie ananipigia magoti nisifanye dayati, nimekataaje, am doing it for my self si kwa ajili yake🙂

NATAMANI NIKUTIE KERBU YA MAANA we mleta mada!
HV MNAKUBALIJE KUYUMBISHWA PERSONALITY ZENU KIASI HIKI!
kwanini lakini?
 
Nachelea kusema mumeo hajui jinsi ya kuyatumia matiti makubwa kuna 6*6, awaulize wataalam wa hayo na akitokea akaonja penzi la majimama ya kinoklein wenye matiti xxl then akirudi home hutomuona akikwambia uyapunguze utaskia darling twende uwanjani we unamrembulia tuu hata kama jicho kavu looh
THAAAAATS MY GIRL!
ehehhhehehe Kongosho anakutamaniae siku hiz!
 
Last edited by a moderator:
jikubali dada yangu, haina haja ya kupunguza matiti. Kuwa na self esteem feel proud to be yourself.
 
he he he, hebu mtie kelbu ya ya kwangu

Mie zombie ananipigia magoti nisifanye dayati, nimekataaje, am doing it for my self si kwa ajili yake🙂
ahahahhahha USIJE KUNIULIZA TU FIRIGISI WANATENGENEZA WAPI!
ila bora kama unafanya kwa ajili yako!
af tule tugauni twa rangi moja na kamkanda kembamba ndo mpango mzima wa wiki hii kazini!
 
He he he, kupendeza ni zaidi ya umbo

Na kama umbo linaangua, unanoa msasa akili, basi wazidi kuonekana mrembo tu.

Kuishi ni kupanga, na kupanga ni kuchagua.

ahahahhahahhahahha katika vitu sivipend my dear ni mtu kutokujithamini!
sina tatizo na kuweka mwili uwe na afya,sina na mtu kuikeep smart wala hila na mtu kujimake!
INAPOFIKA WAKATI MTU ANAPOSHINDWA KUJUA YEYE NI ZAID YA MWILI WAKE hapo mi ndo napotamaniga(hiki kiswahili kanifundisha kingosho hiki) kulia!
 
Hahahahaaa mekuwa sku hz looh nilikuwa down long tyme tangu niamue kuibuka ma feeling as a woman and life goes on happily with, thanks u pple in here u rise me up :A S thumbs_up:

nimetamni kulia kwa hii post!
THANK YOU VERY MUCH dear!
ENJOY BEING A WOMAN THAT YU ARE!
malovee yanakuwaje matamu sasa sa hz?
cha!
ulitaka kujikhalif buuuure!
SAIL WITH THE LOVE!
SAIL WITH IT MORE AND MORE!
 
Umemzidi huyu? kama hujamzidi basi jitambue kuwa matiti yako bado ni madogo sana...

Maana huyu ndiye mwanamke anayeshikilia rekodi ya dunia kwa kuwa na matiti makubwa, na bado anajikubali vile alivyo...

annie-hawkins-turner.jpg

halafu amependeza!!!!!!
 
Ha ha ha, acha tu

Kupendeza kipaji, si pesa sana wala uzuri sana

Ni kujijulia tu.

Natamani huyu dada anipitie tuwe tunaenda wote shopping ya nguo.
Sheria namba moja hakuna kununua nguo hata iwe nzuri vipi bila kujaribishia, na kama hujaridhika hata kidogo usiichukue unless kuna option ya kufanya marekebisho na kukaa utakavyo.

ahahahhahha USIJE KUNIULIZA TU FIRIGISI WANATENGENEZA WAPI!
ila bora kama unafanya kwa ajili yako!
af tule tugauni twa rangi moja na kamkanda kembamba ndo mpango mzima wa wiki hii kazini!
 
He he he, kupendeza ni zaidi ya umbo

Na kama umbo linaangua, unanoa msasa akili, basi wazidi kuonekana mrembo tu.

Kuishi ni kupanga, na kupanga ni kuchagua.
AHAHAHHAHAHHA badala ya kukomaa na kulia kila siku nyonyo ni kubwa
AKAE CHINI AULIZE NYONYO KUBWA LINATUMIWAJEEEE!
watu wamupe marufundi!
aone kama huyo mume hakuomba yaongezwe na mengine manne!
 
Back
Top Bottom