Ninahitaji msaada wenu jinsi ya kupunguza matiti

Ninahitaji msaada wenu jinsi ya kupunguza matiti

Hujafa haujaumbika kwanini lakini watu hawajikubali kama walivyoumbwa. ulivyopata watoto ukabadilika basi nadhani huyo mumeo asingekuzalisha halafu muone huo mtiti wake ooh wameona lakini hawana watoto! ooh hawa sio wazima! Na hapo ungelalamika tena. JITAMBUE MAMA USIYUMBWISHWE NA BINADAMU MWENZAKO.MUOGOPE NA UMHESHIMU MUUMBA WAKO TU.
 
kwa nini mnakuwa wakali mimi nimewaomba ushauri hali sii nzuri hata bra mjini sipati nikipata ni kwa kuwinda mno. hebu piga picha maziwa makubwa halafu bra sio nzuri.

Hata mimi sipendi jinsi ninavyoonekana
 
Nimekuwa member hapa muda mrefu hii ni id yangu ambayo hata jf friends wangu hawijui

Mimi ni mama wa watoto wawili mmoja 5yrs mwingine 3yrs umbo langu kabla ya kujifungua halikuwa kubwa lakini nilpopata mimba niliongezeka sana. nimejitahidi nimefanya mazoezi kupunguza uzito lakini manyonyo yamekataa kupungua hata kidogo. Nimebaki kuwa na kifua cha DDD cup wakati kabla sijazaa nilkuwa C cup.

Nahitaji kujua zaidi ya upasuaji kuna njia nyingine inayoweza kupunguza maziwa. Nahitaji msaada wenu naonekana vibaya mno na nguo hata hazinikai vizuri. nimeishia kuvaa jeans na t-shirts kubwa tu. Na mume wangu hapendi ninavyoonekana na amekuwa akisema bila kuficha.

Vasilisa mzuri kabisa

I feel pity on you!
Do you care what he says? potezea. small things visikuumize! Mwambie wewe unaumba! akuoneshe his creation ndo akosoe sasa
just dress normal, tafuta nguo za maumbile kama yako!!
Vaa dress za kimama zaidi kama linen nzuri tuu zipo town na zitakushape vizuri tuu
 
HV UKIMPENDA MTU BADO UNAENDELEA KUANGALIA KAUMBWAJE?
kha!
natamanije nikujue kwa id yako ya kila siku nichambeeee mpka akili ikukae sawa!
HAYO MAZIWA YANGEKUWA HAYANA FAIDA HAO WATOTO WANAOMWITA BABA WANGENYONYA NINI!
Mameeee sasa snowhite kakasirika karibuni ataingia kwenye computer :smile-big:..Basi shost usimkaripie sana keshakuelewa nadhani
 
jiamini..thats all..na mumeo anatakiwa kua all weather..sio akupende ukiwa mwembamba ukinenepa asikupende,huo sio upendo,so ungepata kilema kama leo angekuacha?
 
kwa nini mnakuwa wakali mimi nimewaomba ushauri hali sii nzuri hata bra mjini sipati nikipata ni kwa kuwinda mno. hebu piga picha maziwa makubwa halafu bra sio nzuri.

Hata mimi sipendi jinsi ninavyoonekana
twende nikupeleke wanakouza bra nzuri za ukweeen!
wachana na kujikana hivo maumbile yako!
lakini hebu nikuulize kitu hiyo bra utavaa mpaka kitandani kwa mumeo?
ungelia na weusi ningesema jipake dekio ung'ae(phwee)
sasa maziwa unafikir unayafanyaje zaid ya kukubali hali yako na KUJIVUNIA ulivyo?
 
Nimekuwa member hapa muda mrefu hii ni id yangu ambayo hata jf friends wangu hawijui

Mimi ni mama wa watoto wawili mmoja 5yrs mwingine 3yrs umbo langu kabla ya kujifungua halikuwa kubwa lakini nilpopata mimba niliongezeka sana. nimejitahidi nimefanya mazoezi kupunguza uzito lakini manyonyo yamekataa kupungua hata kidogo. Nimebaki kuwa na kifua cha DDD cup wakati kabla sijazaa nilkuwa C cup.

Nahitaji kujua zaidi ya upasuaji kuna njia nyingine inayoweza kupunguza maziwa. Nahitaji msaada wenu naonekana vibaya mno na nguo hata hazinikai vizuri. nimeishia kuvaa jeans na t-shirts kubwa tu. Na mume wangu hapendi ninavyoonekana na amekuwa akisema bila kuficha.

Vasilisa mzuri kabisa

nasikia mhimbili wataanza kufanya plastic surgery
 
twende nikupeleke wanakouza bra nzuri za ukweeen!
wachana na kujikana hivo maumbile yako!
lakini hebu nikuulize kitu hiyo bra utavaa mpaka kitandani kwa mumeo?
ungelia na weusi ningesema jipake dekio ung'ae(phwee)
sasa maziwa unafikir unayafanyaje zaid ya kukubali hali yako na KUJIVUNIA ulivyo?
Huyo mume mwenyewe keshatia dosari shost ndo maana maconfidence yameshuka shuuuu!!at least akiwa anampa moyo ingekuwa habari nyingine si ndio vasilisa mzuri?
 
and point of correction!
hakuna aliye mkali mamii!
maana hakuna aliye mkamilifu miongoni mwetu!
wengine tuna namna tofauti kidogo wen it comes kushauri,sio kila tatizo linaloletwa mbele ya watu linahitaji ushauri wa kubembelezwa na wa kuungwa mkono
KUNA VITU(HIKI NI KIMOJA WAPO KAMA SIO CHA KWANZA)VINAHITAJI a SLAP!

WEWE NI MREMBO SANA MACHONI KWA ALIYE KUUMBA!
MWANADAMU ALIYEUMBWA KAMA WEWE DUNIANI HAYUPO!
U WA PEKEE KWA NAMNA ILIVYO MPASA MUUMBA WAKO!
HEBU TAZAMAN NI MANGAPI MAZURI ULIYO NAYO KWA TABIA AMABYO WENGU WETU PENGINE MIMI SINA?
USIPOKUBALI NA KUSHUKURU KWA NAMNA ULIVYO UNADHANI NANI ANAWEZA KUFANYA HILO KWA AJILI YAKO!

KATAA KURUHUSU MTU AKUTAZAME ANAVYOTAKA YEYE,hata kama ni mumeo wa NDOA!
upendo na hisia za kweli za mapenzi ni zaidi ya MUONEKANO WA MWILI!

YOU ARE WHAT YOU ARE!
he is either take it or NOT!
Cheeerr UP! GIRL!
twenzetu kino tukatafute bra kali za kufa mtu na mitumba ya linen ya ukweli!
plus simple shoes pale mwenge handbag yako kali,tupia style matata ya nywele
CELEBRATE THE WAY YU ARE!
🙂
 
Duh! Kama mwanaume halisi, tayari nshakutamani hakyanani!
Nashindwa kuamini kama kweli huyo jamaa ni "Mumeo" - huenda ni mzazi mwenzio tu. Kama kweli ni "Mumeo" basi ana matatizo yanayohitaji ushauri nasaha wa haraka!
Huna haja ya kujisikia vibaya hata kidogo - be proud of what you are.Period!
Vinginevyo, kama tatizo ni mwonekano wako kimavazi ndo inakuumiza kichwa, ongea na Wataalamu wa Mavazi wakupe ushauri nini uvae, wakati gani! Nyonyo kubwa sio ulemavu - ni maumbile! Ni hereditary hata hivyo!
Unamkumbuka mwanamuziki wa kitanzania "malkia wa zouk", aliyekuwa kwenye cgati miaka michache ikiyopita, macho makubwa mregezo? Mbona "hotel" yake ilimfanya awe hearthrob kwa baadhi yetu sisi wadau?
 
naona wasichana mnataka kupoteza mwenzenu
yeye anataka kupunguza nyie mnamwambia ajipende wtf
kwan kuna kosa mtu kuwa insecure na mwili wake
 
Huyo mume mwenyewe keshatia dosari shost ndo maana maconfidence yameshuka shuuuu!!at least akiwa anampa moyo ingekuwa habari nyingine si ndio vasilisa mzuri?
mume kashajua weak point yake iko wapi!
HE IS TRYN IT VERY HARD TO NAIL HER DOWN!
af kesho utasikia mume wangu kaniacha kaniambia maziwa yangu yameanguka!
mfyuuuuu zake huyo mwanaume
YE KAUMBA WANGAPI?
 
Hapo mumeo ndio amekukatisha tamaa kwa kuonyesha kuchukizwa na mabadiliko yako ya mwili,,,, hakupaswa kufanya hivyo maana anakushushia kiwango cha kujiamini!!!!!!!!

Akumbuke kuwa 'hujafa hujaumbika' ipo siku Mungu anaweza kumtundika busha la nguvu...... Ndio atajua thamani ya binadamu mwenzie ikoje!!!!!
(mpe huo mfano)
 
pole sana ntaanzisha thread kwa wote mnaotaka kupunguza matiti kwa njia naturally
 
mume kashajua weak point yake iko wapi!
HE IS TRYN IT VERY HARD TO NAIL HER DOWN!
af kesho utasikia mume wangu kaniacha kaniambia maziwa yangu yameanguka!
mfyuuuuu zake huyo mwanaume
YE KAUMBA WANGAPI?
hii mijianaume mingine sijui ina akili ya sisimizii:smile-big:...
HII NI KWA WANAUME WOTE:huyo ulokuwa nae kama alikuwa na maumbile tofauti mwanzoni mfano alikuwa slim kisha akanenepa baadae sasa ,utamuacha ukatafute kiportable mwengine basi mtaacha wengi kama hi hivyooo maana maumbile ya mwanamke yanabadilika sana haswa akishazaa......
 
Back
Top Bottom