Ninahitaji msaada wenu jinsi ya kupunguza matiti

Ninahitaji msaada wenu jinsi ya kupunguza matiti

vasilisa mzuri

Senior Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
113
Reaction score
55
Nimekuwa member hapa muda mrefu hii ni id yangu ambayo hata jf friends wangu hawijui

Mimi ni mama wa watoto wawili mmoja 5yrs mwingine 3yrs umbo langu kabla ya kujifungua halikuwa kubwa lakini nilpopata mimba niliongezeka sana. nimejitahidi nimefanya mazoezi kupunguza uzito lakini manyonyo yamekataa kupungua hata kidogo. Nimebaki kuwa na kifua cha DDD cup wakati kabla sijazaa nilkuwa C cup.

Nahitaji kujua zaidi ya upasuaji kuna njia nyingine inayoweza kupunguza maziwa. Nahitaji msaada wenu naonekana vibaya mno na nguo hata hazinikai vizuri. nimeishia kuvaa jeans na t-shirts kubwa tu. Na mume wangu hapendi ninavyoonekana na amekuwa akisema bila kuficha.

Vasilisa mzuri kabisa
 
WEWE NI ZAID YA MATITI UNAJUA enh!?
na huyo mume anayebaki kukutazama ulivyo na kukudisgrace hivo ni wa aina ganiiii!
MI SIJUI NIKOJE NA KITU KINAITWA MAUMBILE!
nachukia hasa tena yanapofanya mtu ashindwe kujitambua na kutambua utu na thamani ya mwingine!
 
mwanadamu na thamani yake ni zaid ya huu mwili wa nyama!
AWE MWEMBAMBA,MWEUPE,MWEUSI,MATITI MAKUBWA ,SIJUI HIPSI ,MIGUUU SIJUI MNAITA YA BIA,
havina thamani kabisa katika uzuri na thamani yako kama mwanamke!
THE WOMAN in YOU tells MOOORE!
aaaargh
watu mnakubalije kushushwa hiviiii?
 
Nimekuwa member hapa muda mrefu hii ni id yangu ambayo hata jf friends wangu hawijui

Mimi ni mama wa watoto wawili mmoja 5yrs mwingine 3yrs umbo langu kabla ya kujifungua halikuwa kubwa lakini nilpopata mimba niliongezeka sana. nimejitahidi nimefanya mazoezi kupunguza uzito lakini manyonyo yamekataa kupungua hata kidogo. Nimebaki kuwa na kifua cha DDD cup wakati kabla sijazaa nilkuwa C cup.

Nahitaji kujua zaidi ya upasuaji kuna njia nyingine inayoweza kupunguza maziwa. Nahitaji msaada wenu naonekana vibaya mno na nguo hata hazinikai vizuri. nimeishia kuvaa jeans na t-shirts kubwa tu. Na mume wangu hapendi ninavyoonekana na amekuwa akisema bila kuficha.

Vasilisa mzuri kabisa

acha utumwa! jikubali! na tambua maana ya kupenda ni 'kukubali mapungufu ya mwenzako' hivyo kama unataka kupunguza matiti cos mumeo hayataki basi huyo hakupendi,tafuta anayekupenda na matiti yako husiwe mtumwa wa mapenzi,mbona matiti ndiyo habari ya mjini? jivunie.
 
yani hata nami acha nichangie hapo besti kwani umenikuna vilivyo
wewe mwanamke kwanini uvunjike moyo kisha shepu au mwili
kwani Mungua alivyokuumba si aliona vyema uwe hivyo kwanini
unaona watu wanakuona uko vibaya na wakati umeumbika vyema?
Mungu alimfanya kiila mtu kwa mfano wake na uzuri wake
hivyo usibabaike na mitazamo ya watu wengine
mwanadamu na thamani yake ni zaid ya huu mwili wa nyama!
AWE MWEMBAMBA,MWEUPE,MWEUSI,MATITI MAKUBWA ,SIJUI HIPSI ,MIGUUU SIJUI MNAITA YA BIA,
havina thamani kabisa katika uzuri na thamani yako kama mwanamke!
THE WOMAN in YOU tells MOOORE!
aaaargh
watu mnakubalije kushushwa hiviiii?
 
Huyo mume mshamba sana....hayo mazuri sana hasa kitandani. Wazungu wote wanapenda matiti makubwa mpaka wanafanya plastic surgery ili wawe nayo!. Wanajua faida yake. Ila huyo mumeo akubali,siku akiota BUSHA nawe umkimbie bila mjadala!
 
Waaala yasikupe tabu wewe endelea kuishi maisha yako huku ukijiamini kama mwanzo. Wengine tunaomba wenzi wetu wawe nayo makubwa,mumeo ana matatizo mengine tu...
 
Ulivyo ndivyo inavyofaa, hakuna mamna ama jinsi yoyote kumlidhisha mme aliyekengeuka. Wewe mngoje siku aki-resume atakukuta ulivyo sasa na atakupenda dada yangu.
 
HV UKIMPENDA MTU BADO UNAENDELEA KUANGALIA KAUMBWAJE?
kha!
natamanije nikujue kwa id yako ya kila siku nichambeeee mpka akili ikukae sawa!
HAYO MAZIWA YANGEKUWA HAYANA FAIDA HAO WATOTO WANAOMWITA BABA WANGENYONYA NINI!
 
Hivi mfano ukapata ushauri mzuri na ukafanikiwa yakawa hiyo size unayotaka, bahati mbaya mkaachana. Siku ukikutana na mwingine akakwambia anapenda makubwa utatafuta dawa ya kuyakuza tena??

Kama huyo jamaa yako kweli kakwambia waziwazi hayapendi, basi kuna kitu anakutafuta tu huyo.....Labda keshapata formsix wake huko anataka na wewe ufanane nae!!!!
 
yani hata nami acha nichangie hapo besti kwani umenikuna vilivyo
wewe mwanamke kwanini uvunjike moyo kisha shepu au mwili
kwani Mungua alivyokuumba si aliona vyema uwe hivyo kwanini
unaona watu wanakuona uko vibaya na wakati umeumbika vyema?
Mungu alimfanya kiila mtu kwa mfano wake na uzuri wake
hivyo usibabaike na mitazamo ya watu wengine

sielewi serious!sielewi kabisaa!
 
Its all about you and not other people.....

Tatizo manyonyo makubwa au kulala kwa manyonyo!!
 
Back
Top Bottom