Ninahitaji msaada wenu jinsi ya kupunguza matiti

Ninahitaji msaada wenu jinsi ya kupunguza matiti

naona wasichana mnataka kupoteza mwenzenu
yeye anataka kupunguza nyie mnamwambia ajipende wtf
kwan kuna kosa mtu kuwa insecure na mwili wake

nilikuwa natamani kweli aje mtu wa aina yako
KWANZA,hakuna mtu anataka kumpoteza mtu!
PILI,unajua maana ya kuwa insecure?
if yes and i hope yu do,
NI KOSA KUBWA SANA KUWA INSECURE KWA KITU CHOCHOTE!sio mwili tu!
 
Nimekuwa member hapa muda mrefu hii ni id yangu ambayo hata jf friends wangu hawijui

Mimi ni mama wa watoto wawili mmoja 5yrs mwingine 3yrs umbo langu kabla ya kujifungua halikuwa kubwa lakini nilpopata mimba niliongezeka sana. nimejitahidi nimefanya mazoezi kupunguza uzito lakini manyonyo yamekataa kupungua hata kidogo. Nimebaki kuwa na kifua cha DDD cup wakati kabla sijazaa nilkuwa C cup.

Nahitaji kujua zaidi ya upasuaji kuna njia nyingine inayoweza kupunguza maziwa. Nahitaji msaada wenu naonekana vibaya mno na nguo hata hazinikai vizuri. nimeishia kuvaa jeans na t-shirts kubwa tu. Na mume wangu hapendi ninavyoonekana na amekuwa akisema bila kuficha.

Vasilisa mzuri kabisa

JIAMINI, huyo mumeo atakuwa chizi, haipendi shepu yako tena wakati umemzalia watoto
 
pole sana ntaanzisha thread kwa wote mnaotaka kupunguza matiti kwa njia naturally

we fanya biashara ngoa sisi tujenge KUJIAMINI KWA MTU!ILI AKIJA KUFUATA HUO UNATURALE AJUE ANAFANYA KWA AILI YA NANI !
part ways we go!sawaaaaar?
 
nilikuwa natamani kweli aje mtu wa aina yako
KWANZA,hakuna mtu anataka kumpoteza mtu!
PILI,unajua maana ya kuwa insecure?
if yes and i hope yu do,
NI KOSA KUBWA SANA KUWA INSECURE KWA KITU CHOCHOTE!sio mwili tu!
basi umenipata

nipe time and i will tell you kitu ambacho upo so insecure with

kila kiumbe kinaitaji a lil bit of insecurity to keep living
na FYI a bit of insecurity ni healthy
back to the topic huyo mama tayar hajipend na size ya matiti yako the only solution ya yeye kuendelea kuishi healthy life ni kupunguza size na zipo njia za kawaid za kupunguza coz matiti hapo ni fat tu zmelundikana
mnaanza ooh mme wake mshenzi
mme gan anataka kumwona mke wake anavaa kila siku ma tshirt makubwa na jeans?
 
Nimekuwa member hapa muda mrefu hii ni id yangu ambayo hata jf friends wangu hawijui

Mimi ni mama wa watoto wawili mmoja 5yrs mwingine 3yrs umbo langu kabla ya kujifungua halikuwa kubwa lakini nilpopata mimba niliongezeka sana. nimejitahidi nimefanya mazoezi kupunguza uzito lakini manyonyo yamekataa kupungua hata kidogo. Nimebaki kuwa na kifua cha DDD cup wakati kabla sijazaa nilkuwa C cup.

Nahitaji kujua zaidi ya upasuaji kuna njia nyingine inayoweza kupunguza maziwa. Nahitaji msaada wenu naonekana vibaya mno na nguo hata hazinikai vizuri. nimeishia kuvaa jeans na t-shirts kubwa tu. Na mume wangu hapendi ninavyoonekana na amekuwa akisema bila kuficha.

Vasilisa mzuri kabisa

Jikubali, unaweza kufanyiwa operation ukabaki kama sanamu la michelini, unze kutafuta sumu zilipo kujitoa roho. Ebu acha mamboya kumkosoa Mungu aliyekuumba kwa makusudi yake.

CD
 
we fanya biashara ngoa sisi tujenge KUJIAMINI KWA MTU!ILI AKIJA KUFUATA HUO UNATURALE AJUE ANAFANYA KWA AILI YA NANI !
part ways we go!sawaaaaar?

talking abt kujiamini
wew unajiamin asilimia ngap
 
mbona ma cowbell ndo mpango kwani yana joto joto la ukweli mpaka unasinzia.
 
kwa mfano yamelala SO WHAT?
kwa hiyo manyonyo yaliolala ni laana?

hajajikubali huyo,sa huyo mwanaume kama alimuoa miaka hiyoooo

anadhani atakuwa vile vile tuuu,

btn naona una ham na mtoa mada umeshikiliaje bango lol!!
 
Umemzidi huyu? kama hujamzidi basi jitambue kuwa matiti yako bado ni madogo sana...

Maana huyu ndiye mwanamke anayeshikilia rekodi ya dunia kwa kuwa na matiti makubwa, na bado anajikubali vile alivyo...

annie-hawkins-turner.jpg
 
talking abt kujiamini
wew unajiamin asilimia ngap
ahahhhahhaa wont work on me
such a Very petit strategy
nimekwambia wacha tumsaidie huyu mama kwa njia mbili tofauti!
kujiamni kwangu hakukufanyi wewe ukawa bora wala dhaifu!
 
Sasa kwa nini umejificha?
Ujue ukiwa watu wanakijua wankushauri yale ya moyoni.

Si unaona mie juzi niliomba kusaidiwa kupungua? Sioni aibu eti sababu mie kibonge na kusema ili watu wanisaidie.

Mie nina uhakika wewe hujajua jinsi ya kuvaa, tisheti na jeans tu kila siku? Waweza vaa sketi na blausi na ukachomekea kabisa. Kwani una matiti kama ya Anabel wa BBA?
Kitu kingine bra zako unavaa mlegezo? Au unanunua high quality na zinazotosha nyonyo lote?
 
snowhite punguza munkari
ahhhahaahhaha sina munkari best!
najaribu tu kuweka some stuff kichwani kwa watu
haya makitu ya kujikana haya kuna siku watu watajichoma moto humu!
enh!
hujambo lakini ile twishen vip?
 
You know what no matter how my boobs look like I LOVE THEM in every single way and they are PERFECT to me!So stop underestimating people you don´t know!:smile-big:

underestimating???
Kwako ni perfect but kwa huyo mama yake sio u see the difference?
Na ndio tunakuja kwnye solution
ni kupunguza size tu Ili self esteem yake irudi normal
unanielewa wewe
 
Back
Top Bottom