Duh! Kama mwanaume halisi, tayari nshakutamani hakyanani!
Nashindwa kuamini kama kweli huyo jamaa ni "Mumeo" - huenda ni mzazi mwenzio tu. Kama kweli ni "Mumeo" basi ana matatizo yanayohitaji ushauri nasaha wa haraka!
Huna haja ya kujisikia vibaya hata kidogo - be proud of what you are.Period!
Vinginevyo, kama tatizo ni mwonekano wako kimavazi ndo inakuumiza kichwa, ongea na Wataalamu wa Mavazi wakupe ushauri nini uvae, wakati gani! Nyonyo kubwa sio ulemavu - ni maumbile! Ni hereditary hata hivyo!
Unamkumbuka mwanamuziki wa kitanzania "malkia wa zouk", aliyekuwa kwenye cgati miaka michache ikiyopita, macho makubwa mregezo? Mbona "hotel" yake ilimfanya awe hearthrob kwa baadhi yetu sisi wadau?