Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,207
- 15,890
Huyu ni mpumbavu {ni mtu mzima kwangu lakini nathubutu kumuita mpumbavu},huyu anaona hapo pana jina Kassam basi ameshamaliza kwamba ni muislam mwenzake.WEKA DINI KANDO KWANZA NDUGU!
Isingekuwa hilo jina ambacho angekiandika hapa kingekuwa na mlengo tofauti kabisa,sijui aliyemwambia jamaa ni muislam nani!
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk