Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,364
- 145,032
Ukiona hivyo basi ujue huyo ni mtu mwenye Access na dola...!! No need to question.
Okay.
Ukiona hivyo basi ujue huyo ni mtu mwenye Access na dola...!! No need to question.
Jamaa Ana machale kutokana na mafunzo aliyopata. Yani anaweza kunusa ugaidi unataka kutokea wapi
Halafu kauliza tu baada ya kuto ufafanuzi kuhusu huyo jamaa. Akitaka kujua mtoa mada anamtilia kuhusu dini yake, ili amfafanulie zaidi.Huyu ni mpumbavu {ni mtu mzima kwangu lakini nathubutu kumuita mpumbavu},huyu anaona hapo pana jina Kassam basi ameshamaliza kwamba ni muislam mwenzake.
Isingekuwa hilo jina ambacho angekiandika hapa kingekuwa na mlengo tofauti kabisa,sijui aliyemwambia jamaa ni muislam nani!
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
hivi umemwelewa?Duh!!!
We ajuza inaonekana mtu asiyekuwa wa dini yako hata salam huwezi mpatia kwa kujishtukia kwako
Huyu mama leo mnamwonea kamuuliza mtoa mada shaka yake juu ya huyo jamaa ni dini? Hadi alama ya kuuliza inaonekana, kafanya hivyo baada ya kumwelezea akitaka ajue kama ana shaka nyingine.
Kama ni kweli ulikwenda shule kuelewa na sio kujifunza kusoma then alicho sema mleta uzi kinafikirisha, tuachane na suala la dini yake but je hi just coincidence au jambo linalo pangwa!? Kwamba matukio mawili makubwa tena ya kigaini na magaidi hao ni wale wale wa kundi moja na matukio yote jamaa awepo? No mama, hili linafikirisha sana, wala sio kidogo ingawa pia, jamaa anawezaje pia kujiweka wazi hivyo maeneo 2 tofauti kwa nyakati tofauti, hakudhani pia kama anaweza kutengeneza maswali kwa watu na hata wana usalama!? Achana na mambo ya dini kwanza hapa, tumfikirie huyu jamaa kwanzaNini kilichopelekea mleta mada kuwa na wasiwasi na Inayat?
Ulipoamka wewe mimi nilipapita miaka 40 nyuma.
Tatizo ni shule uliyoenda, ilikufundisha kusoma haikukufundisha kuelewa unachokisoma. Hizo ndiyo shule za kusomesha ujinga.
Kwanini akimbilie moja kwa moja kwenye kuuliza dini,na je katika Wachangiaji wote walioanza hakuna mchangiaji Muslim hata mmoja?Huyu mama leo mnamwonea kamuuliza mtoa mada shaka yake juu ya huyo jamaa ni dini? Hadi alama ya kuuliza inaonekana, kafanya hivyo baada ya kumwelezea akitaka ajue kama ana shaka nyingine.
Wewe ajuza ninakuchukia balaa, wewe niwa Dini yangu lakini naona unanifanya mpaka nahisi nitabaguli Kama wewe unavyo wabagua wasio Dini yako. Vip laki umewahi toa papuchu yako kwa mtu wa mrengo mwingineHuyo ni Mwalimu wa maswali ya intelijensia na usalama na ana kampuni binafsi ya mambo ya ulinzi na usalama. Utakuta hizo sehemu zote kampuni yake inahusika kutoa ulinzi. Likitokea yeye ni kati ya watu wa mwanzo kujulishwa na ni mtu asiyengoja amri ya mtu mwengine.
Au kwa Dini yake tu?
Dah!
Duh kwani ni dini gan huyu? Wewe bibi maswala ya din yanakutesa sana Masikin wa munguHuyo ni Mwalimu wa maswali ya intelijensia na usalama na ana kampuni binafsi ya mambo ya ulinzi na usalama. Utakuta hizo sehemu zote kampuni yake inahusika kutoa ulinzi. Likitokea yeye ni kati ya watu wa mwanzo kujulishwa na ni mtu asiyengoja amri ya mtu mwengine.
Au kwa Dini yake tu?
Dah!
Unafikiri kuna asiye Muislam anaweza jitolea maisha yake kuokoa watu namna hiyo? Wakati watu wanakimbia tukio yeye ndiyo analifata. Jina lake tu linaeleza kila kitu.Duh kwani ni dini gan huyu? Wewe bibi maswala ya din yanakutesa sana Masikin wa mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo siyo mwislam bhana acha mambo yako. Weka ushahidi wa dini yakeUnafikiri kuna asiye Muislam anaweza jitoles maisha yake kuokoa watu namna hiyo? Wakati watu wanakimbia tukio yeye ndiyo anakifata. Jina lake tu linaeleza kila kitu.
Soma post ya juu hapo.Huyo siyo mwislam bhana acha mambo yako. Weka ushahidi wa dini yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelezo haya jamaa ni moto wa kuotea mbali pia mtoa mada atakuwa amepata kitu According to his question.
hivi umemwelewa?
Kamtoa shaka mtoa mada kwa kumweleza uhalisia wa huyo jamaa, mwishoni akamuuliza kama shaka yake ni dini ya huyo jamaa. Hata alama ya kuuliza inaonekana
Tatizo la FaizaFoxy ni moja tu ameweka Udini mbele ata kwa vitu visivyo hitaji hoja za kidiniShida alivyomalizia utaelewa tu kuwa ni mtu mwenye religious sentimetals sana
Nini kilichopelekea mleta mada kuwa na wasiwasi na Inayat?
Ulipoamka wewe mimi nilipapita miaka 40 nyuma.
Tatizo ni shule uliyoenda, ilikufundisha kusoma haikukufundisha kuelewa unachokisoma. Hizo ndiyo shule za kusomesha ujinga.
Madhara ya Shule za ccm hizo za kufuta ujingaNini kilichopelekea mleta mada kuwa na wasiwasi na Inayat?
Ulipoamka wewe mimi nilipapita miaka 40 nyuma.
Tatizo ni shule uliyoenda, ilikufundisha kusoma haikukufundisha kuelewa unachokisoma. Hizo ndiyo shule za kusomesha ujinga.
Kamuuliza mtoa mada akimaanisha au ana shaka na dini yake maana kuna wengine huingiza imani, au hukuona alama ya kuulizaShida alivyomalizia utaelewa tu kuwa ni mtu mwenye religious sentimetals sana