Nina hasira na wife, ushauri wenu please

Nina hasira na wife, ushauri wenu please

Bwana wee tamaduni za kishenzi tupa kule sijui hivi kumfuraisha mtu badala ya kujifuraisha mie siwezi, Mimi Mambo mengi anayolalamika mwanaume ni ujinga kabila langu wanaume wanajifanyia mengi kuliko hayo malalamiko ya mleta mada na wamedumu huwa hamna lawama kabisa na kila mtu kuchakarika na kwanini uoe mke ka huna uwezo wa kuweka bomba shower mwishowe tuje kuchoshana na ndoo kichwani
Have a nice day Sister.
 
Maisha ya ndoa yanahitaji reciprocity mzee, unconditional love utaipata kwa MUNGU na wazazi tu- Maisha ya ndoa ni kuishi kirafiki na kusaidiana whenever possible otherwise ukiwa kichwa ngumu lazima usaidiwe.Heshima it's something hard won,hata kama huwezi kufua unaweza kumsaidia mambo mengine kufree space yake ya kupumzika kama binadamu pale inapowezekana. Binafsi naamin mwanamke hamdharau mwanaume from no where lazima kuna source na source inaweza kuwa mwanamke pale anapoona mwanaume wake ni hopeless hana msaada.Haiwezekan mnatembea barabara moja pamoja mwanamke kabeba mtoto mgongon,kuni kichwan,kikapu mkononi,na mahindi begani alafu na mume wake pembeni amebeba tu panga mkononi-Huku siyo kuwajibika hata kidogo and i hate this behavior ya wazee wetu wa zaman.

Mwanaume hautakiwi kukaa kimwinyimwinyi yaani hadi maji ya kuoga unatengewa,vyombo ukimaliza kula unaviacha mezani unasubiri mkeo aje kuvitoa,kunawa unasubiri mkeo akunawishe,huo ni umwinyi kweli.
 
Alfu niulize tu mkuu uko na miaka mingapi ktk ndoa? Hii itatusaidia kutoa ushauri sahihi ndio maana huwa kabla ya kutibiwa unapimwa uzito na pressure ili tusije zidisha dose.

Ndoa ina stage 3....
Ila tunashaliuliwa tujuane kwanza kabla ya kuoona kitabia myenendo,kipi napenda kipi sipendi nk..makabila,mila na na desturi ikiwemo koo na familia.

Siku hizi tuaangalia mguu,tako na sura...wenzetu swali lao unafanya kazi gani na wapi?

Umepanga au unaishi kwako?
ili aww sucured ktk comfirtable zone ya kimaisha sio aanze piga pasi ndefu za dash ni swali la kimkakati.

Wimbi la kuachana ni kubwa sana maana tuko ktk material things kuliko upendo wa dhati na kufuata kanuni na taratibu.

Jando na unyago hakuna...sasa vijsna mnakula kisu tu hospital..hakuna kufundishwa ujasiri na taratibu za kiume..sasa hv kiumeni ni bar...kitchen party ishakuwa sehemu kuchangiwa zawadi kama ww ulivyowachangia wenzio yanaongelewa ya kike lkn yanabaki palepale maana sio lengo kuu la muolewaji so huwa hana interest sana zaidi ya zawadi...

Sasa kwenye hizo stages 3 za ndoa kuna balaaa...ng'onda na furaha...nk. mie niko na miaka10 ktk taasisi na akijawahi acha kuchimbika...ndio maana nauliza una miaka mingapi ktk ndoa?
 
Kama unataka kumkomoa goma kuoga na nguo vaa hizo hizo chafu [emoji57][emoji57]

Malalamiko yenye mantiki ni uongo na kuchunguzana tu. Japo kuchunguzana kama huna la kuficha muache tu ajiridhishe...kwani shida nini?[emoji52]
Mwamba ngoma huvutia kwake[emoji28][emoji28]
 
Wandugu mimi ni mfanyakazi katika taasisi binafsi ya elimu, nna mke na watoto wawili, nimeishi na mke wangu Sasa mwaka wa 4 baada ya kumzalisha baadae nikamchukua awe mke wangu,

Mwaka Jana mwishoni nlilipa mahari kiasi Cha tsh 1.5m na tumeishi maisha ya amani mpaka leo ila Ana matatizo haya ndio yamenifanya niwaone wakuu:

Mosi, huwa anapata wakati mgumu kunijibu ninapomuuliza kitu

Pili, ni muongo, anaweza kukueleza kwamba alikueleza kitu Fulani wakati hakusema kabisaaa

Tatu, amekuwa mvivu kunifulia hasa baada ya Mimi kufanya kufua nguo kipindi akiwa mgonjwa, now anahisi ni wajibu wangu kufua

Nne, Jambo la Mimi kuoga Wala usimuulize, nna Zaidi ya mwezi sijatengewa maji ya kuoga najitengea mwenyewe

Tano, anapenda Sana kunichunguza Kama nachepuka, juzi tumegombana kwa kusachi simu yangu japo hapakuwa na pa kunikamatia ila kuona sms ya mdada kanisalimia ilikuwa Vita.

Na hii ndio shida kuu, ananivizia usiku anasearch simu yangu Sana na sometime anawapigia wadada nilowasave namba zao, KEROOO

NATAMANI SANA AMANI LAKINI NAHISI ANATAFUTA SHIDA

NISHAACHA UJINGA JAPO HATA YEYE NILIMPATIA UJINGANI LAKINI NAHISI ATANIRUDISHA UJINGANI

USHAURI WENU PLEASE....
Wewe Rudi ujingani tu ndo dawa yake, na kabla hijarudi huko ujingani mwonyeshe hii thread!
 
Wanataka weka dosari soko letu STD seven wakati tulikubaliana sisi ndio wife material [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio wife material wa nn, wanataka kuwageuza cheap labour, lol
 
Ndoa ni nzuri sana mkiwa na positive mentality,na pia ni mbaya sana mkiwa na negative mentality.Huwa najitahd sana kutengeneza mentality ya watoto wangu kupitia maisha yangu ya ndoa na mke wangu-I want them to grow wiser.Namfundisha mtoto wa kiume kufanya kazi kwa mashirikiano na dada yake ikiwemo kujaribu kuosha vyombo nk. In long run i know atakuwa a very responsible man.
 
Nikijiskia ila sio jukumu langu. Jukumu langu ni kuleta hela na wewe kuhudumia nyumba sasa kama kuhudumia nyumba umeshindwa basi huna faida ndani ya nyumba
Hebu ngoja kwani ukiwa unaleta hela ndan ya nyumba, ba mkeo akawa buzzy na kuhudumia nyumba kwa mambo mengine mengi, je kupika mwanaume hapo ni kosa au dhambi? Au hasara huyo ni ipi?
 
Hela ya mwanamke ni yake atumie atakavyo hela yangu ni ya wote na endapo hatotimiza majukumu yake kwa kisingizio cha yeye kuleta hela basi achague moja familia ama kazi either way sipati hasara yoyote. Msitake kubadilisha nature
Khaaaaah mbna una mawazo finyu na mtazamo hasi wee.
Hebu badilisha hizo fikra zako. Unapotoka hakika.
 
Hana hela ndo maana hana acces na shower

Angekuwa anaingia bafuni aanafungua bomba anaoga

Huijui tu raha ya kutengewa maji na kukaribishwa ukaoge, nasema huijui tu ile raha ya kupewa taulo na sabuni.[emoji276]

Huko mujini maji yapo tayari bafuni mumeo atajua mwenyewe, anajiendea tu wala hakaribishwi!

Hovyo kabisa.
 
Bwana wee tamaduni za kishenzi tupa kule sijui hivi kumfuraisha mtu badala ya kujifuraisha mie siwezi, Mimi Mambo mengi anayolalamika mwanaume ni ujinga kabila langu wanaume wanajifanyia mengi kuliko hayo malalamiko ya mleta mada na wamedumu huwa hamna lawama kabisa na kila mtu kuchakarika na kwanini uoe mke ka huna uwezo wa kuweka bomba shower mwishowe tuje kuchoshana na ndoo kichwani
Well said, [emoji419][emoji419][emoji419]
 
Back
Top Bottom