cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 117,020
- 189,771
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi wakioa wanaume wenye akili tu mnapungukiwa nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi wakioa wanaume wenye akili tu mnapungukiwa nini?
Angekuwa na hela angenunua machine ya kufua kuliko kumlaumu mke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]dahHivi wakioa wanaume wenye akili tu mnapungukiwa nini?
Sasa faida yake ya kuoa hapo iko wapi kama atajifanyia hayoUna madai ya kijinga unataka akufulie nguo wewe huna mikono, eti akutengee maji wewe ni kiwete acha uvivu tafta hela, bila haya wataka ufuliwe maji yako ya kuoga hutaki kubeba mpaka umtese mkeo hujui ulezi ni kaxi?
Acha uvivu aisee
Ubabe sio dawa ya ndoa.Huyo ni wa makofi,
Utakuwa hujawai kumpiga,
Mwanamke usipomzibua ata kofi atakudharau na kukuchukulia poa.
Darasa la Saba vipi tena jamani [emoji23][emoji23][emoji23]Nani alikwambia uchukue alieishia darasa la saba miksa familia duni?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Angekuwa na hela angenunua machine ya kufua kuliko kumlaumu mke
Hizi sio dharau bali ni dhereu.Nani alikwambia uchukue alieishia darasa la saba miksa familia duni?
Agome gome kuoga japo mwezi [emoji23]Kama unataka kumkomoa goma kuoga na nguo vaa hizo hizo chafu [emoji57][emoji57]
Malalamiko yenye mantiki ni uongo na kuchunguzana tu. Japo kuchunguzana kama huna la kuficha muache tu ajiridhishe...kwani shida nini?[emoji52]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Darasa la Saba vipi tena jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Si tulikubaliana mtatuoa sisi,wenye degree wana kiburi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1697868
Manka utamjua...sasa huyu ni manka gume gume jike shupa
Sema neno kungwi apone jomonii..😅Unaonekana hujapevuka kuingia kwenye ndoa matatizo madogo hayo unalalamika
KabisaaaaahKama unataka kumkomoa goma kuoga na nguo vaa hizo hizo chafu [emoji57][emoji57]
Malalamiko yenye mantiki ni uongo na kuchunguzana tu. Japo kuchunguzana kama huna la kuficha muache tu ajiridhishe...kwani shida nini?[emoji52]
wasije wakaanza kugombana huko huko out wakavurugana, maana demu anaweza kuuliza kwaio umenileta huku ili uniambie hayo[emoji23]Mshara wa taasisi fulani ya elimu ukitoka, mtoe mke wako outing na baada ya chakula mweleze haya yote uliyoyaandika hapa.