Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,415
- 29,400
Sasa kusema umelipa mahari ya 1.5m ilikuwa na mantiki gani katika kisa hiki? Au unamaanisha kuwa hilo ndio jambo linalokupa hasira?
Anamaanisha amelipia huduma hizo, anashangaa hapewi.
Sasa kusema umelipa mahari ya 1.5m ilikuwa na mantiki gani katika kisa hiki? Au unamaanisha kuwa hilo ndio jambo linalokupa hasira?
Hapo sasa yaaanHaya mambo ndio ya kulalamika? Siku hizi maji kitaani bwerere ,unganisha bomba hadi chooni na pia kama mvivu ,uwe unafua tu shati tatu na suruali zako za kuvaa kwa wiki na wala usimuulize ,akiona unafanya atakusaidia siku nyingine.
Mke ni wa kupiga Pipe na kukuzalia watoto hayo majukumu mengine ni kusaidiana, what if na yeye ana kazi inayumuweka busy?
Wee n gentle husband.Maisha ya ndoa yanahitaji reciprocity mzee, unconditional love utaipata kwa MUNGU na wazazi tu- Maisha ya ndoa ni kuishi kirafiki na kusaidiana whenever possible otherwise ukiwa kichwa ngumu lazima usaidiwe.Heshima it's something hard won,hata kama huwezi kufua unaweza kumsaidia mambo mengine kufree space yake ya kupumzika kama binadamu pale inapowezekana. Binafsi naamin mwanamke hamdharau mwanaume from no where lazima kuna source na source inaweza kuwa mwanamke pale anapoona mwanaume wake ni hopeless hana msaada.Haiwezekan mnatembea barabara moja pamoja mwanamke kabeba mtoto mgongon,kuni kichwan,kikapu mkononi,na mahindi begani alafu na mume wake pembeni amebeba tu panga mkononi-Huku siyo kuwajibika hata kidogo and i hate this behavior ya wazee wetu wa zaman.
Khaaaaaaaah iv umewaza nn dea kuandika haya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila wanaume mnalalamika jamani.
Naona muoane wenyewe kwa wenyewe pengine malalamiko yatapungua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hana hela ndo maana hana acces na shower
Angekuwa anaingia bafuni aanafungua bomba anaoga
Kila kitu ni namna unavyotafsiriHuijui tu raha ya kutengewa maji na kukaribishwa ukaoge, nasema huijui tu ile raha ya kupewa taulo na sabuni.[emoji276]
Huko mujini maji yapo tayari bafuni mumeo atajua mwenyewe, anajiendea tu wala hakaribishwi!
Hovyo kabisa.
Bado najaribu best.Wee n gentle husband.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea puliiiiiiiz umenfanya nicheke kwa sauti hapa, watu wananshangaa tyuuh.Mbona na wewe ni single father with multiple kid's no marriage,I think wewe ni failure with lack of self control very shame to you, ondoa kwanza boriti lako kwanza
Ahsanteeeeeeh.Ndoa ni nzuri sana mkiwa na positive mentality,na pia ni mbaya sana mkiwa na negative mentality.Huwa najitahd sana kutengeneza mentality ya watoto wangu kupitia maisha yangu ya ndoa na mke wangu-I want them to grow wiser.Namfundisha mtoto wa kiume kufanya kazi kwa mashirikiano na dada yake ikiwemo kujaribu kuosha vyombo nk. In long run i know atakuwa a very responsible man.
Hebu search nyuzi humu wanaume wanavyolalamikia wake zao jamaniKhaaaaaaaah iv umewaza nn dea kuandika haya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio unajaribu, umeshaweza tayari hapo.Bado najaribu best.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Mbona na wewe ni single father with multiple kid's no marriage,I think wewe ni failure with lack of self control very shame to you, ondoa kwanza boriti lako kwanza
Umewaza mbali sana.GoodKila siku mnamponda MAGU hajui kuongoza nchi ,wakati wanaume wengine huku wanashindwa kuongoza ata familia
.
.
TOO SAD
Duuuuuh hii hatareeeh sasa dea, ila saiv malalamiko ya migogoro ya ndoa n nyingi, lakini ukiangalia sababu zake hazina mashiko kabisa.Hebu search nyuzi humu wanaume wanavyolalamikia wake zao jamani
Yaani kuna vitu vinabebeka tu and they can solve them as men
Ila wanalalamika mno,nashauri tu wapendane wenyewe because they are all perfect
ThanksHave a nice day Sister.
Watu wa Tanga hao eti "hanitengei maji"Labda ndio mazingira aliyokulia kwao, alikuwa anaona hivyo vinafanyika na yeye amekariri ni lazima mke amuwekee maji ya kuoga, kama yuko busy sana mke anaweza kumsaidia kufua ila sio kuweka maji ya kuoga mana huko ni kumfanya mke mtumwa sasa au thamani yake ya chini sana.
Bro beba maji nenda kaoge au funga bomba bafuni.
People are negative and selfishDuuuuuh hii hatareeeh sasa dea, ila saiv malalamiko ya migogoro ya ndoa n nyingi, lakini ukiangalia sababu zake hazina mashiko kabisa.
MmmwaaThanks