Nina hasira na wife, ushauri wenu please

Nina hasira na wife, ushauri wenu please

Hebu search nyuzi humu wanaume wanavyolalamikia wake zao jamani

Yaani kuna vitu vinabebeka tu and they can solve them as men

Ila wanalalamika mno,nashauri tu wapendane wenyewe because they are all perfect
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila kitu ni namna unavyotafsiri

Ila mtu anaelea watoto wawili watatu
Kama kweli unampenda unatafuta namna ya kumfanyia wepesi

Ile sio adhabu, inapaswa ifanyike out of love mkuu... yaani mke ndo aone raha na ajivunie kufanya hivi.

Ni kama wale ambao hujiapiza wenyewe hawezi kukubali mumewe ale chakula cha kupikwa na mwingine![emoji847][emoji39]
 
Huijui tu raha ya kutengewa maji na kukaribishwa ukaoge, nasema huijui tu ile raha ya kupewa taulo na sabuni.[emoji276]

Huko mujini maji yapo tayari bafuni mumeo atajua mwenyewe, anajiendea tu wala hakaribishwi!

Hovyo kabisa.
You're very right lakini hayo mambo mtu afanye kwa upendo na mahaba na ahiari mwenyewe,siyo km hivi mnavyotaka kuforce nyie
 
Mkuu, kuwa mwanaume kwenye mahusiano/familia maana yake wewe ni kiongozi. Sasa kama kiongozi inabidi uwe na akili, busara, uvumilivu na uelewa wa hali ya juu sana. Kama mwanaume naelewa tunapenda kufuliwa na kupikiwa na wanawake zetu. Si utumwa bali ni mapenzi. Ila kuna wakati inahitaji asaidiwe sbb naye anachoka. Mimi nimekua home nalea wadogo zangu, kuwafulia, kupika kusafisha nyumba, zile kazi ni ngumu na zinachosha kinyama.. Narudia kazi za nyumbani ni ngumu ile mbaya. Sasa kibailojia kazi hizo + watoto wadogo, ina mput off mwanamke, na ukute kuna jam nyingi zinamzunguka. So issue nyingine fanya mwenyewe kumsaidia wife. Mimi ni muumini wa maridhiano sio ubabe kwenye masuala ya familia au mahusiano. Tafuta mshauri wa ndoa pia.

huo ni mtazamo wangu, sijao though!
Umenikumbusha mbali sana,Nyumbani am first born na wazee walikuwa wanashughuli zao za biashara wanafanya, hvyo majukumu ya kulea wadogo zangu tulikuwa tunasaidiana na wazee sababu hamna house girl,Most of the time lazima nimfunge mdogo wangu mgongoni ili shughuli zingine zifanyike-Nilikuwa nachoka sana,na hapo unakuta muda wa kulea wadogo zangu ndo muda marafiki zangu wanacheza michezo huko nje yan nilikuwa stressed vibaya kwa sababu sina nafasi ya kushiriki nao kama mtoto mwenzao na hapo mtu unajikuta unajifunza mambo mengi sana juu ya maisha.Mwanamke kupewa uhuru ni lazima lasivyo ndoa inaweza kuingia kwenye changamoto.
 
Hana hela ndo maana hana acces na shower

Angekuwa anaingia bafuni aanafungua bomba anaoga

Hahahaaa ukweli Mchungu.....Kweli Maji ni Bwerere kwasasa angevuta maji kupeleka chooni akaondoa tatizo la kutengewa maji kwenye ndoo na kopo ,pia kuhusu kufua angenunua washing mashine au awe anapeleka Dry Cleaner/Laundry.
 
Umenikumbusha mbali sana,Nyumbani am first born na wazee walikuwa wanashughuli zao za biashara wanafanya, hvyo majukumu ya kulea wadogo zangu tulikuwa tunasaidiana na wazee sababu hamna house girl,Most of the time lazima nimfunge mdogo wangu mgongoni ili shughuli zingine zifanyike-Nilikuwa nachoka sana,na hapo unakuta muda wa kulea wadogo zangu ndo muda marafiki zangu wanacheza michezo huko nje yan nilikuwa stressed vibaya kwa sababu sina nafasi ya kushiriki nao kama mtoto mwenzao na hapo mtu unajikuta unajifunza mambo mengi sana juu ya maisha.Mwanamke kupewa uhuru ni lazima lasivyo ndoa inaweza kuingia kwenye changamoto.

Kweli kabisa watu tuliokuwa tunafanya hizo kazi tangu utoto ,tulivyooa hatukuwa tunasubiri wake zetu ndio wafanye!! Mimi hakuna kazi ya nyumbani ambayo siwezi kuanzia kupika,kufua,kufagia ndani/nje,kulima majani ,nikiona hakupo sawa narekebisha mwenyewe sisubiri wife au Hg ndio afanye!!
 
Wandugu mimi ni mfanyakazi katika taasisi binafsi ya elimu, nna mke na watoto wawili, nimeishi na mke wangu Sasa mwaka wa 4 baada ya kumzalisha baadae nikamchukua awe mke wangu,

Mwaka Jana mwishoni nlilipa mahari kiasi Cha tsh 1.5m na tumeishi maisha ya amani mpaka leo ila Ana matatizo haya ndio yamenifanya niwaone wakuu:

Mosi, huwa anapata wakati mgumu kunijibu ninapomuuliza kitu

Pili, ni muongo, anaweza kukueleza kwamba alikueleza kitu Fulani wakati hakusema kabisaaa

Tatu, amekuwa mvivu kunifulia hasa baada ya Mimi kufanya kufua nguo kipindi akiwa mgonjwa, now anahisi ni wajibu wangu kufua

Nne, Jambo la Mimi kuoga Wala usimuulize, nna Zaidi ya mwezi sijatengewa maji ya kuoga najitengea mwenyewe

Tano, anapenda Sana kunichunguza Kama nachepuka, juzi tumegombana kwa kusachi simu yangu japo hapakuwa na pa kunikamatia ila kuona sms ya mdada kanisalimia ilikuwa Vita.

Na hii ndio shida kuu, ananivizia usiku anasearch simu yangu Sana na sometime anawapigia wadada nilowasave namba zao, KEROOO

NATAMANI SANA AMANI LAKINI NAHISI ANATAFUTA SHIDA

NISHAACHA UJINGA JAPO HATA YEYE NILIMPATIA UJINGANI LAKINI NAHISI ATANIRUDISHA UJINGANI

USHAURI WENU PLEASE....

!
!
Samahani hii vita kuu ni ya ngapi?
 
Yani tusi Lao humu ni hujaolewa au single mom, huku yeye kajisahau kuwa ni single jamani loh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Hatari sana, tena single father ndio wanakuwa mbele kuponda wadada .

Hawajui kama hata sisi hatuwataki [emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Hatari sana, tena single father ndio wanakuwa mbele kuponda wadada .

Hawajui kama hata sisi hatuwataki [emoji23][emoji23]
Humu JF 90 %ni single father ila ukikuta wanaponda wanawake sasa, na huwa hawapendeki Wana ma stress ya kuachiwa watoto,na wanataka uwapende wanao by force.
 
Humu JF 90 %ni single father ila ukikuta wanaponda wanawake sasa, na huwa hawapendeki Wana ma stress ya kuachiwa watoto,na wanataka uwapende wanao by force.
Mimi mtu akishakuwa single father tu kwa kweli hapana[emoji23]..
Basi huwa wanaponda wanawake humu utadhani wao ni malaika, kumbe nao ni walewale [emoji1787]
 
Umenikumbusha mbali sana,Nyumbani am first born na wazee walikuwa wanashughuli zao za biashara wanafanya, hvyo majukumu ya kulea wadogo zangu tulikuwa tunasaidiana na wazee sababu hamna house girl,Most of the time lazima nimfunge mdogo wangu mgongoni ili shughuli zingine zifanyike-Nilikuwa nachoka sana,na hapo unakuta muda wa kulea wadogo zangu ndo muda marafiki zangu wanacheza michezo huko nje yan nilikuwa stressed vibaya kwa sababu sina nafasi ya kushiriki nao kama mtoto mwenzao na hapo mtu unajikuta unajifunza mambo mengi sana juu ya maisha.Mwanamke kupewa uhuru ni lazima lasivyo ndoa inaweza kuingia kwenye changamoto.
Hahaha.
unatoka shule saa 9, mmekubaliana mkutane kwenye mechi ya mpira jioni, unafika home, maza anakuambia anaenda kazini mahindi ameandaa nikayasage. So unamfunga dogo mgongoni, mahindi kichwani mdogomdogo hadi mashineni. Ukirudi hakuna kutoka upike ugali, mshua akija ale uoshe vyombo.

hii experience inasaidia sana.
 
Back
Top Bottom