Nina hasira na wife, ushauri wenu please

Angekuwa na nafasi ya hey kusema hapa na yeye tungebalance story, ila mkuu act masculine........naona kama kuna kitu hakipo sawa na kwako pia......ndiyo maana anafanya hayo makusudi......mtoe outing moja mkalale mazingira mapya huko, zeni toku to her frendiliii.....
 
Punguza hasira, zungumza nae mwambie kinachokukwaza, asipoelewa rudi ujingani. Kuishi nyumba moja na mke mwenye makelele ningekuwa mwanaume ningeikimbia tu
Umegundua hapo tatizo ni mwanamke kwamba mwanaume hana sauti kwa mkewe shida inaanzia hapo kwanza

Mwanaume inaonekana anajishusha sana ila mke haeleweki

Anatakiwa asimame kama mwanaume
 
Huyo ni wa makofi,
Utakuwa hujawahi kumpiga,
Mwanamke usipomzibua hata kofi atakudharau na kukuchukulia poa.
 
Ila matatizo mengi yanachangiwa sana na umaskini, nafikiria mngekuwa na running water wewe unaswitch on tu geyser inachemsha unaoga huku umelala ndani ya jakuzi na hizo nguo mnadumbukiza tu kwa washing machine yasingetokea haya.
 
Una madai ya kijinga unataka akufulie nguo wewe huna mikono, eti akutengee maji wewe ni kiwete acha uvivu tafta hela, bila haya wataka ufuliwe maji yako ya kuoga hutaki kubeba mpaka umtese mkeo hujui ulezi ni kaxi?
Acha uvivu aisee
 
Punguza hasira, zungumza nae mwambie kinachokukwaza, asipoelewa rudi ujingani. Kuishi nyumba moja na mke mwenye makelele ningekuwa mwanaume ningeikimbia tu
Umekua Mkenya Maana, wanaume wakenya wakiona kimeumana anatoka anamuachia mwanamke nyumba
 
Back
Top Bottom