kubwa jinga jr
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 292
- 309
mkuu umekosea sana kumpiga icho kibao. ulitakiwa umrukie miguu miwili ya mbavu kabisa ndio dawa yao hiyo.
KORBOTO umetema madini sema hili la kufuatilia naweza uapoleee sana mkuu..., ila attitude yako nimeipenda.
kwamba umemnyoosha tu then hamna kufuatilia. ingekuwa mimi siku hiyo ningemfuatilia nijue kulikoni, nianze na huyo jamaa then mke, ningejikuta naona yasiyosameheka au nikaishia kifungoni.
Nakushauri, we kamwongeze keleb zake then ongeza umakini kidogo, ila chonde chonde usije ukafuatilia wala kwenda kupima dna za watoto
Nilifikiria hilo lakini kila nikifikiria vijana wangu ningewapotezea diramkuu umekosea sana kumpiga icho kibao. ulitakiwa umrukie miguu miwili ya mbavu kabisa ndio dawa yao hiyo.
si bado unampenda? usimfuatilie tena. Ila hakikisha ananyooka kwenye mstari kama alikuwa na makando kando aachane nayo.KORBOTO umetema madini sema hili la kufuatilia naweza ua
Nimekusoma mkuusi bado unampenda? usimfuatilie tena. Ila hakikisha ananyooka kwenye mstari kama alikuwa na makando kando aachane nayo.
Huitaji elimu ya msingi wala chuo kikuu kuligundua hilo"....ooho sipendi kuvaa nikiwa nyumbani mpaka nikiwa natoka"
Hapo yenyewe lazima hata mimi ningejua anamvalia mtu mwingine...
true mkuuHuitaji elimu ya msingi wala chuo kikuu kuligundua hilo
Hem sema anazipekaga wapi kuonwa?




Alinipa nikatandika ila niliumia baada ya dharau kuzidi kwa mumewe nikamwambia kama hatomuheshimu mumewe basi kwani alifanya kulipiza.sikuenda dharau zake kwa Mme wake. Toka kipindi hicho Niko mbali na wake za watuHa ha ha ha ushapewa sasa au bado
the early the betterNaona unataka mwenzio azimie teh
Muda mwingine lazima maamuzi magumu yachukuliwe, kelebu kalaza papuchi ndani..!!
Angekua mvulana, angekuja kuomba ushauri mke wangu anavaa shanga wakati anatoka, nifanyaje.!!!!

Dah..... Nyoco sana hawa... Hapo ukute Unamgonga vizuri na unamlipia bili zote..![]()
![]()
hawa viumbe huwa hawaridhikiMkuu ushachapiwaga NINI?Dah, umemuwahi sana, usingempiga kwanza, ungemnyatia mpaka anapoenda kuingia halafu huko sasa ndio umtie kisu cha koromeo kabisa.. Shenz zake.
Safi Sana Mzee. Tia Alama Usoni. Akitaka Kutoka Kingesengese Akijiangalia Ktk Kioo Akiona Kovu La Kelbu Anakumbuka Anakalisha Mpapa Chini!

Mmm wala si mshauli hilo
Mimi hata sielew labda tumuombe mumewe amchunguze atuletee jibu sahihi
Hongera mkuu Kwa kuilinda ndoa yako maana kuna wakati inakubidi uonyeshe wewe ni kichwa cha familiaSalaam wadau
Huyu wife wangu jana amenishangaza na tabia moja hivi ninavyoandika bado nipo na hasira kama nitakua nakosea kuandika basi mtanisamehe,
Huyu wife mwenyewe najua ana shanga mbili tu kiunoni lakini kama miezi miwili nyuma katika pitapita yangu kwenye droo zake nikakumbana na mzigo wa haja wa shanga,nafsi ikashtuka lakini nikachukulia labda zile ni spea baada ya zile mbili zikikatika ata replace na hakuwahi kuzivaa mbele yangu,
Sasa kuna siku nimetoka kuoga na yeye anavavaa pale , nikaingia bila vishindo heee naona amevaa zile shanga,sikusema kitu akavaa akamaliza akaenda safari zake akarudi
Nikamcheki hana ule mzigo ameuvua na ameupaki pale pale kwenye eneo lake, sasa jana ndio ilikua habari nyingine ameamka bize anagawa majukumu kwa watoto ,anaaga kuna safari ya mabwepande na mimi hajanijulisha basi nikawa naendelea na shughuli zangu za kujibu meseji kwa jamaa zangu,na yeye akakaa kwenye dressing yake kuanza kujipodoa sasa mimi macho yakanilazimisha kuangalia kwenye kioo cha kabati na kabati linaangaliana na kule alikokaa yeye si naziona zile shanga amevaa
Nikauliza vipi mzigo huu umeingiza lini ananijibu kwa kujiamini upo siku nyingi..mimi mbona sijawahi uona..ooho sipendi kuvaa nikiwa nyumbani mpaka nikiwa natoka...nikaamka pale nilipokaa nikamfuata nikamwambia azivue akagoma nikazishika nikazikatilia mbali akataka kupandisha pumzi nikamkabidhi kelbu moja tu akawa hana hamu nikamuona amepanda kitandani amevuta shuka na safari imekufa,jioni nilivyorudi sikumuona pale sitting room nikauliza watoto wakasema mama leo amekula mapema na amelala mapema hakutoka hata nje ya geti
Hivi ni kimoja tu kati ya kumi tunavyotendwa
Sijui kwakweli, na aombe nisijue hivi hivi.Mkuu ushachapiwaga NINI?