wonders shall never ceaseHii ni dunia ya utandawazi kweli kweli mtoto anaujua undani wa wazazi bila kuhadithiwa!
Yaone maajabu ya duniaakiwa na wewe anavaa mbili ila akitoka anavaa zote
anaenda kumuonyesha nani ?
Hapa ndio jibu lake nilipompatia hii kelbuSafi sana mkuu...anavaa anapotoka nani akazione?!
Kama za sangoma baada ya pale sikuona safari wala kuelekekea kwenye dawati la jinsia kushtaki anajua analofanyaInawezekana, shanga rundo alipewa na Sangoma ila wewe ukadhani kuwa ni za kwenda kugegedwa.
Any way, mwanamke hachungwi bali hujitunza mwenyewe.
Hapo hajasolve tatizo,kazuia tu asigongwe kwa siku hiyo lakini siku nyingine papuchi atakagawa tu kwa mchepuko wake.huyo mwanamke anachepukaDah, umemuwahi sana, usingempiga kwanza, ungemnyatia mpaka anapoenda kuingia halafu huko sasa ndio umtie kisu cha koromeo kabisa.. Shenz zake.
Si la kusema ni wajibuDah..... Nyoco sana hawa... Hapo ukute Unamgonga vizuri na unamlipia bili zote..![]()
![]()
Anafata nn njeSi la kusema ni wajibu
Uchunguzi bado unaendelea mkuu aksante sanaMtoa mada nakupongeza sana kwa maamuzi uliyochukua ila hujatibu tatizo. Kama ulizikata kwa kuhisi kuwa kuna mtu mwingine anavaliwa hizo shanga basi endelea na uchunguzi utagundua mengi sana Zaidi ya hizo shanga. Pole sana ila tibu tatizo shanga ni matokea tu ya tatizo