Antie ndio mana nimeomba talaka. Now niko huru.
Kwahiyo watu wasioane?!Kati ya Ndoa Nne Tatu zina KIVUMBI and still.people are getting married.
Kama mtu akikuuliza kuwa katika mashindano ya magari kwa kila gari nne Tatu zinapata ajali. Sidhani kama ungejaribu hayo mashindano
Mkuu eti " kelebu kalaza papuchi ndani"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana angeenda kudumbukizwa vidudu vyeupe naww ungekuja kufofonfya uchafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] any way safi sana mkuuMuda mwingine lazima maamuzi magumu yachukuliwe, kelebu kalaza papuchi ndani..!!
Angekua mvulana, angekuja kuomba ushauri mke wangu anavaa shanga wakati anatoka, nifanyaje.!!!!
Kwel mkuu maamuz mazuri sanaWanaume tumebaki wachache sana hapa Tanzania. Maamuzi kama ya huyu member mwenzetu yanahitaji pongezi za kutukuka kabisa.
Ok sikulifahamu mkuuUlimwonea mbona kuna nguo za kushindia nyumbani na nguo za safari
Kweli isiyo na kivuliKati ya Ndoa Nne Tatu zina KIVUMBI and still.people are getting married.
Kama mtu akikuuliza kuwa katika mashindano ya magari kwa kila gari nne Tatu zinapata ajali. Sidhani kama ungejaribu hayo mashindano
Haya nipe ushauri afanywe niniMwanamke hapigwi bn we
[emoji23]
[emoji4] oooh kwahiyo anti huyu kwenye orodha ya wanaukoo hayupo tena eeeAntie ndio mana nimeomba talaka. Now niko huru.
Hayupo mwanangu.[emoji4] oooh kwahiyo anti huyu kwenye orodha ya wanaukoo hayupo tena eee
Ha ha ha ha ha palsa kunywa bia moja tu ya mwanaume utaona hilo rungu la kipepe ha ha utapigwa rungu kama umekunywa kiwanda 😀😀😀😀hahahaaa ilo rungu la kipepe ni nini jamani
Kwa hiyo ungekuwa ni wewe ungefanyanini?Hapo hajasolve tatizo,kazuia tu asigongwe kwa siku hiyo lakini siku nyingine papuchi atakagawa tu kwa mchepuko wake.huyo mwanamke anachepuka
Hem sema anazipekaga wapi kuonwa?Aiseeh
Dah, hii comment imeandikwa kwa hisia kali sana,huu mchezo hauitaji hasira MkuuDah, umemuwahi sana, usingempiga kwanza, ungemnyatia mpaka anapoenda kuingia halafu huko sasa ndio umtie kisu cha koromeo kabisa.. Shenz zake.
Haya sawa anti saivi popote nitakapo mkuta sita kutag tenaHayupo mwanangu.