madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,421
- 864
- Thread starter
- #181
usihofu sio wote wanafananaChangamoto za ndoa mnazotuhadisia humu zinanifanya niiogope ndoa
usihofu sio wote wanafananaChangamoto za ndoa mnazotuhadisia humu zinanifanya niiogope ndoa
Duh, kila siku kila linakuja lipyausihofu sio wote wanafanana
Wazaramo?Hahah!
umempa kelbu moja mimechekaaa!
Hongera sana aisee make hawa viumbe ukiwa mkimya sana,anakuona zoba,hapo ukute alikuwa anaenda kugegedwa na wapenda shanga nyingiiii!
Hakika huyo ni mchepukaji mzuri! Wanawake wachepukaji hujisikia fahari kumvalia mtu wa nje anae mgegeda! Kuna mke wa mtu nilikuwa namgegeda aliniuliza wewe unapenda wanawake wakivaa shanga? Nikamwambia naam napenda sana! Akasema basi nitanunua nitakuwa navaa Nikija kwako tu na mime wangu sitaki ajue!Salaam wadau
Huyu wife wangu jana amenishangaza na tabia moja hivi ninavyoandika bado nipo na hasira kama nitakua nakosea kuandika basi mtanisamehe,
Huyu wife mwenyewe najua ana shanga mbili tu kiunoni lakini kama miezi miwili nyuma katika pitapita yangu kwenye droo zake nikakumbana na mzigo wa haja wa shanga,nafsi ikashtuka lakini nikachukulia labda zile ni spea baada ya zile mbili zikikatika ata replace na hakuwahi kuzivaa mbele yangu,
Sasa kuna siku nimetoka kuoga na yeye anavavaa pale , nikaingia bila vishindo heee naona amevaa zile shanga,sikusema kitu akavaa akamaliza akaenda safari zake akarudi
Nikamcheki hana ule mzigo ameuvua na ameupaki pale pale kwenye eneo lake, sasa jana ndio ilikua habari nyingine ameamka bize anagawa majukumu kwa watoto ,anaaga kuna safari ya mabwepande na mimi hajanijulisha basi nikawa naendelea na shughuli zangu za kujibu meseji kwa jamaa zangu,na yeye akakaa kwenye dressing yake kuanza kujipodoa sasa mimi macho yakanilazimisha kuangalia kwenye kioo cha kabati na kabati linaangaliana na kule alikokaa yeye si naziona zile shanga amevaa
Nikauliza vipi mzigo huu umeingiza lini ananijibu kwa kujiamini upo siku nyingi..mimi mbona sijawahi uona..ooho sipendi kuvaa nikiwa nyumbani mpaka nikiwa natoka...nikaamka pale nilipokaa nikamfuata nikamwambia azivue akagoma nikazishika nikazikatilia mbali akataka kupandisha pumzi nikamkabidhi kelbu moja tu akawa hana hamu nikamuona amepanda kitandani amevuta shuka na safari imekufa,jioni nilivyorudi sikumuona pale sitting room nikauliza watoto wakasema mama leo amekula mapema na amelala mapema hakutoka hata nje ya geti
Hivi ni kimoja tu kati ya kumi tunavyotendwa
Hakuna njia mbadala zaidi ya hiiSafi mkuu! Kipigo hiyo ni factory reset akileta ujinga tena unafanya hard reset kabisa ili asitoke chumbani kama week hivi
Mashaka ya makubwa hayaHakika huyo ni mchepukaji mzuri! Wanawake wachepukaji hujisikia fahari kumvalia mtu wa nje anae mgegeda! Kuna mke wa mtu nilikuwa namgegeda aliniuliza wewe unapenda wanawake wakivaa shanga? Nikamwambia naam napenda sana! Akasema basi nitanunua nitakuwa navaa Nikija kwako tu na mime wangu sitaki ajue!
Nyooooohhh!!!? Kina mama mnakalia uasherati tu. Sasa mnaolewa kwa lengo gani?Pole mwanamke mwenzangu kwa kupigwa, najua baada ya muda mpenda shanga nyingi atakununulia nyingine na kukupa rungu la kipepe usahau maumivu......
[HASHTAG]#hatushindwii[/HASHTAG]
Cc espy
Tunaolewa kwa lengo la kufanya tendo la ndoaNyooooohhh!!!? Kina mama mnakalia uasherati tu. Sasa mnaolewa kwa lengo gani?

Uasherati tunafanya na wamama wenzetu?Nyooooohhh!!!? Kina mama mnakalia uasherati tu. Sasa mnaolewa kwa lengo gani?
AhsanteUasherati tunafanya na wamama wenzetu?
Hiyo nyoooo ikurudie
Basi si mtulie kwa waume zenuTunaolewa kwa lengo la kufanya tendo la ndoa![]()
Oa tu usiogope maana kupigiwa Mke sio hiari ni lazima huyo unayekula saivi nako ni Mke wa MTU.Changamoto za ndoa mnazotuhadisia humu zinanifanya niiogope ndoa
Sisi tumetulia, labda mke wa mtoa uzi ndio hajatulia. Sasa kwanini wewe unatujumuisha wote?Basi si mtulie kwa waume zenu
Hongera, kama in mtulivu kwa mumeo.Sisi tumetulia, labda mke wa mtoa uzi ndio hajatulia. Sasa kwanini wewe unatujumuisha wote?
Nanyi si mtulie na wake zenu,Basi si mtulie kwa waume zenu
Mimi nimetulia na sina habari na wa nje. Ukinistua kwa kimini chako ulichovaa, hasira zangu naenda kumalizia kwa bibie, mai waif, hubby, mailav, ubavu wangu wa pili, niliemtolea mapesa nyumbani. Sizubaiki na vya watu mimi, nimetosheka. Akkkah!!!!Nanyi si mtulie na wake zenu,
Una wife na una hubby.... Shkamoo aseeMimi nimetulia na sina habari na wa nje. Ukinistua kwa kimini chako ulichovaa, hasira zangu naenda kumalizia kwa bibie, mai waif, hubby, mailav, ubavu wangu wa pili, niliemtolea mapesa nyumbani. Sizubaiki na vya watu mimi, nimetosheka. Akkkah!!!!
Nawaacha wale kutwa kiguu na njia, Mara chomeka yule, mara huyu. Shimo lenyewe halijai.