Nimezikatilia mbali na safari imekufa

Nimezikatilia mbali na safari imekufa

Kuna mtu alitoa mada kuhusu kwamba ni vema uwe unampiga mkeo mara moja kwa mwaka
Sasa sjui ndo sababu kama hizi...
 
Pole mwanamke mwenzangu kwa kupigwa, najua baada ya muda mpenda shanga nyingi atakununulia nyingine na kukupa rungu la kipepe usahau maumivu......
[HASHTAG]#hatushindwii[/HASHTAG]
Cc espy
Endelea kumpa kichwa huyo mwanamke lakin ujue mumewe ndo ameanza kumfanyia upelelezi sasa matokeo yake ndo yale unasikia mke kapigwa shaba ama kisu ama unachomwa moto ukiwa hai
halafu mkisikia kwenye habari hata wewe utakua mmoja wao wa kusema apumzike kwa amani huku ukimsikitikia na kumlaumu kwamba angetulia na mumewe
 
Akiuwawa apumzike kwa amani
 
Zichukue hizo shanga ulizokata na ziunge then mueleze hofu yako
Hiyo kauli ni mbaya sana na inaulakini mkubwa sana..

"ooho sipendi kuvaa nikiwa nyumbani mpaka nikiwa natoka"

Kwa maana hiyo anadhihirisha kwamba kuna mtu au watu anawavalia na kuenda kuwaonesha...

Cc: mahondaw
hakuna jingine sema ameingia unyagoni kwa mara nyingine tena
 
Wanaume kama hawa kutombewa rahisi sana.

Halafu hawajui hata kukaa na mwanamke.
 
Salaam wadau
Huyu wife wangu jana amenishangaza na tabia moja hivi ninavyoandika bado nipo na hasira kama nitakua nakosea kuandika basi mtanisamehe,

Huyu wife mwenyewe najua ana shanga mbili tu kiunoni lakini kama miezi miwili nyuma katika pitapita yangu kwenye droo zake nikakumbana na mzigo wa haja wa shanga,nafsi ikashtuka lakini nikachukulia labda zile ni spea baada ya zile mbili zikikatika ata replace na hakuwahi kuzivaa mbele yangu,
Sasa kuna siku nimetoka kuoga na yeye anavavaa pale , nikaingia bila vishindo heee naona amevaa zile shanga,sikusema kitu akavaa akamaliza akaenda safari zake akarudi

Nikamcheki hana ule mzigo ameuvua na ameupaki pale pale kwenye eneo lake, sasa jana ndio ilikua habari nyingine ameamka bize anagawa majukumu kwa watoto ,anaaga kuna safari ya mabwepande na mimi hajanijulisha basi nikawa naendelea na shughuli zangu za kujibu meseji kwa jamaa zangu,na yeye akakaa kwenye dressing yake kuanza kujipodoa sasa mimi macho yakanilazimisha kuangalia kwenye kioo cha kabati na kabati linaangaliana na kule alikokaa yeye si naziona zile shanga amevaa

Nikauliza vipi mzigo huu umeingiza lini ananijibu kwa kujiamini upo siku nyingi..mimi mbona sijawahi uona..ooho sipendi kuvaa nikiwa nyumbani mpaka nikiwa natoka...nikaamka pale nilipokaa nikamfuata nikamwambia azivue akagoma nikazishika nikazikatilia mbali akataka kupandisha pumzi nikamkabidhi kelbu moja tu akawa hana hamu nikamuona amepanda kitandani amevuta shuka na safari imekufa,jioni nilivyorudi sikumuona pale sitting room nikauliza watoto wakasema mama leo amekula mapema na amelala mapema hakutoka hata nje ya geti

Hivi ni kimoja tu kati ya kumi tunavyotendwa
Aisee agiza mguu wa mbuzi popote ulipo ntalipia!
Hii ndio tunaita maamuzi ya kiume!!! Big up sana, harudii tena huyo!
 
Pole mwanamke mwenzangu kwa kupigwa, najua baada ya muda mpenda shanga nyingi atakununulia nyingine na kukupa rungu la kipepe usahau maumivu......
[HASHTAG]#hatushindwii[/HASHTAG]
Cc espy
Unampa pongezi aendeleze umalaya, sio ishu!!!
 
Hahah!
umempa kelbu moja mimechekaaa!
Hongera sana aisee make hawa viumbe ukiwa mkimya sana,anakuona zoba,hapo ukute alikuwa anaenda kugegedwa na wapenda shanga nyingiiii!
 
Hahah!
umempa kelbu moja mimechekaaa!
Hongera sana aisee make hawa viumbe ukiwa mkimya sana,anakuona zoba,hapo ukute alikuwa anaenda kugegedwa na wapenda shanga nyingiiii!
ndio alishafika mabegani bado hatua moja kichwani
 
Back
Top Bottom