Nimezikatilia mbali na safari imekufa

Nimezikatilia mbali na safari imekufa

hapo kwenye kelbu...jombaa kuna siku nimetoka gym na nilikuwa na hasira zingine za msoto nilitoa kelbu over size mtu akaamka kesho yake saa sita mchana, domo limevimba na mimi usiku mzima nilikuwa na kazi yafuta damu, sirudii kutoa kelbu unaweza ukaua.....
 
hapo kwenye kelbu...jombaa kuna siku nimetoka gym na nilikuwa na hasira zingine za msoto nilitoa kelbu over size mtu akaamka kesho yake saa sita mchana, domo limevimba na mimi usiku mzima nilikuwa na kazi yafuta damu, sirudii kutoa kelbu unaweza ukaua.....
Mkuu sababu ilikua nini
 
Nakupongeza kwa ulichokifanya but mchunguze ujihakikishie maana binafsi taa nyekundu imeshawaka kichwani juu ya huyo mwanamke.

Ugiligili
 
Mtoa mada nakupongeza sana kwa maamuzi uliyochukua ila hujatibu tatizo. Kama ulizikata kwa kuhisi kuwa kuna mtu mwingine anavaliwa hizo shanga basi endelea na uchunguzi utagundua mengi sana Zaidi ya hizo shanga. Pole sana ila tibu tatizo shanga ni matokea tu ya tatizo.

Ushauri tu wa kiutu uzima: Nakushauri umwite umwambie ukweli na umwambie aache mara moja tabia ya kutoka nje ya ndoa na pia umweleze kuwa kama anaona huyo mtu ni muhimu bora aombe talaka akaishi nae kuliko kukudanganya. Mwambie unajua kipi anafanya na umemfuatilia muda mrefu sana. Mweleze akupe msimamo wake kabla ujaenda hatua za mbele Zaidi kuhusu ndoa yenu na pia endelea kumchunguza utaona anajistukia sana pia piga marufuku safari zisizo rasmi kwa mkeo pia awe anakupa taarifa anaenda wapi na kufanya nini na siku akienda sehemu bila ruhusa kerbu mbili tatu zihusike ili ajue anacheza na timu gani. Ndoa zina mitihani sana haswa unapokuta mmoja wa wanandoa si mwaminifu. Pambana uokoe ndoa yako kwa kurekebisha matatizo mapema kabla mambo hayajaharibika
Hivi hakuna solution nyingine zaidi ya hayo makelbu
Mxiu
 
Dah, umemuwahi sana, usingempiga kwanza, ungemnyatia mpaka anapoenda kuingia halafu huko sasa ndio umtie kisu cha koromeo kabisa.. Shenz zake.

kuwapa wanangu u yatima kwa nyege mshindo za mpuuz mmoja hapana sio mufti kabisa....kelbu tu za maana zinafaa!
 
safi sana.....lazima ndani ajulikane nani mume...wanawake wa siku hizi wanapenda sana kumpanda mtu kichwani...!!yani uyo ungekata funua na nywele ungekata na chupa....
 
hivi haya ndio mambo yanayoendelea kwenye ndoa za waswahili?
Mungu aniepushe
 
Back
Top Bottom