Simba SC Msimu ujao wa Dirisha la Usajili tusiuingie tena huu Mtego mkubwa na wa Akili wa Yanga SC sawa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,116
Yanga SC ni Wajanja na wana akili sana kwani kwa Miaka hii Miwili kila Kipindi cha Usajili kikifika tu Wanajifanya Kutangaza kumtaka Mchezaji fulani na Simba SC kwa Upumbavu wetu (narudia tena kwa Msisitizo kabisa kwa Upumbavu wetu) tunaingia Mkenge na Kukurupuka kuwahi Kumsajili huyo Mchezaji huku Yanga SC 'Waliotujambisha' wanaenda Kumsajili Mchezaji mzuri waliyetuficha na hata hawakumtangaza na Matokeo yake Wachezaji wao Wote Waliowasajili ni Wazuri, wa uhakika, hatari na wameshaingia katika Mfumo.

W akati huku Kwetu ( Simba SC ) aliyetuonyesha Uwezo ni Beki tu Chemalone huku Wengine wakiishia tu Kutusukia Mirasta yao na Kuvaa Mihereni na Mwingine Aubin Kramo akilalamika Kulogwa Kende ( Pumbu ) zake kila Kocha akimpanga katika Mechi.

Msimu ujao Dirisha la Usajili likifika Simba SC tuacheni kukubali 'Kujambishwa' na hawa Yanga SC kisha Kukurupuka Kuwasajili Wachezaji waliowataka Kiuwongo Uwongo ( Kujambisha)

Kisha Wao wanaenda Kuwasajili wale Mahiri 'Waliowapointi' wao kisha wanakuja Kuunganika na Mafundi waliowakuta na Timu zinaanza kula Hamsa Hamsa ( Tano Tano ) na wana Simba SC tunabaki Kusonya tu huku tukidai kuwa Yanga SC wanacheza na Timu dhaifu ( nyepesi ) na sijui Wanazihonga wakati hata Sisi kule Tanga katika Fainali ya Community Shield muda wote walikuwa Wanatuhemea tu hadi Wengine kila mara Kubana Kende ( Pumbu ) zetu Miguuni ili tusifungwe ns Shukran nyingi ziende kwa Mganga wetu tuliyetafutiwa na Kocha ( sasa Mkurugenzi wa Soka la Vijana Simba SC ) Juma Mgunda kwani kwa hali ilivyokuwa Siku ile hata Sisi ( Simba SC ) tulikuwa tunaenda Kula ( Kufungwa ) hizi hizi Tano Tano ( Hamsa Hamsa ) wanazokula Wenzetu kwa sasa.

Kusema Ukweli ni Desturi yangu Ok?
 
Naunga mkono Hoja.
Pia Simba tuache tabia ya kusajiri Zilipendwa.

Akina Miquesson wemesha choka mbaya tunawarudisha tena kwanini.

Kamati ya Usajiri iache kusajiri wachezaji waliochoka na kucheza muda mrefu kama akina Fabris Ngoma.

Yanga inasajiri wachezaji wapya na wenye Nguvu, ndio maana wanacheza kwa kasi dakika 90.

Ukiwaangalia Yanga hafungi sana dakika za kwanza kwanza. Wanakuwa Moto dakika za Mwishoni yaani kipindi cha pili.

Azam walifungwa magoli yote mawili kipindi cha pili.
JKT wamekula 4 kipindi cha pili kwakuwa wachezaji ndo kwanza wanaamka na kuendelea kukimbiza kwa kasi ile ile ya kipindi cha kwanza.

Sisi tunawang'ang'ania Wazee akina Boko kucheza dakika 90 huku kijana Kinda Muhammed Musa hata benchi haonekani.

Kwa Yanga hii sioni wa kumzuia kuchukua Ubingwa wa Ligi Msimu huu.
Simba kwa sasa hatuna ubavu hata wa kumfunga Azam.

Hongereni Yanga kwa mikakati mizuri ya Usajiri.
Sisi Simba ngoja tusubiri kumrejesha Piter Banda msimu ujao.
 
Yanga SC ni Wajanja na wana akili sana kwani kwa Miaka hii Miwili kila Kipindi cha Usajili kikifika tu Wanajifanya Kutangaza kumtaka Mchezaji fulani na Simba SC kwa Upumbavu wetu (narudia tena kwa Msisitizo kabisa kwa Upumbavu wetu) tunaingia Mkenge na Kukurupuka kuwahi Kumsajili huyo Mchezaji huku Yanga SC 'Waliotujambisha' wanaenda Kumsajili Mchezaji mzuri waliyetuficha na hata hawakumtangaza na Matokeo yake Wachezaji wao Wote Waliowasajili ni Wazuri, wa uhakika, hatari na wameshaingia katika Mfumo.

W akati huku Kwetu ( Simba SC ) aliyetuonyesha Uwezo ni Beki tu Chemalone huku Wengine wakiishia tu Kutusukia Mirasta yao na Kuvaa Mihereni na Mwingine Aubin Kramo akilalamika Kulogwa Kende ( Pumbu ) zake kila Kocha akimpanga katika Mechi.

Msimu ujao Dirisha la Usajili likifika Simba SC tuacheni kukubali 'Kujambishwa' na hawa Yanga SC kisha Kukurupuka Kuwasajili Wachezaji waliowataka Kiuwongo Uwongo ( Kujambisha)

Kisha Wao wanaenda Kuwasajili wale Mahiri 'Waliowapointi' wao kisha wanakuja Kuunganika na Mafundi waliowakuta na Timu zinaanza kula Hamsa Hamsa ( Tano Tano ) na wana Simba SC tunabaki Kusonya tu huku tukidai kuwa Yanga SC wanacheza na Timu dhaifu ( nyepesi ) na sijui Wanazihonga wakati hata Sisi kule Tanga katika Fainali ya Community Shield muda wote walikuwa Wanatuhemea tu hadi Wengine kila mara Kubana Kende ( Pumbu ) zetu Miguuni ili tusifungwe ns Shukran nyingi ziende kwa Mganga wetu tuliyetafutiwa na Kocha ( sasa Mkurugenzi wa Soka la Vijana Simba SC ) Juma Mgunda kwani kwa hali ilivyokuwa Siku ile hata Sisi ( Simba SC ) tulikuwa tunaenda Kula ( Kufungwa ) hizi hizi Tano Tano ( Hamsa Hamsa ) wanazokula Wenzetu kwa sasa.

Kusema Ukweli ni Desturi yangu Ok?
Bado haujasema, na utasema tu..!!
 
Point nilishangaa simba kujisifu kuiba mchezaji airport hii inaonesha hakuwa kwenye malengo ya kocha bali walimchukua kuwakomoa yanga, huu ni upumbavu
Japo nami Nakiri nililishangilia na kulishadadia mno hili ila nakubaliana nawe 100% ni kutokana na Upumbavu ( Upopoma ) wa Kimihemko ya Simba na Yanga lakini Ukweli utabaki pale pale kuwa Yanga SC wako very Smart katika Scouting and Signing ONLY Competent Players kama hawa Waliowasajili Msimu huu na hata Msimu uliopita tofauti na Sisi tunaobahatisha Kusajili kila Msimu.
 
Back
Top Bottom