Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Pole labda kama ww ndio Mungu. Ila nikwambie wanawake wa aina hiyo wapo wapo sana.. sema wamejificha kuwagundua ni ishu. Binafsi mwaka huu nimekutana nao watatu..

Ni mtihani kuwafaham but yes wanajiheshim na kujitunza kuliko unavyodhani.
Humpati ng'o! Labda ujioe mwenyewe.

Kwa dunia ya leo utqmpata nani ambaye atakupa kipapa wewe peke yako? Siku hizi tunashika huku tangu tunachumbiwa, mpaka tu
 
Pole sana mkuu
Hapo alipotishia nyau kuwa ukimwacha bora afe na wewe ukapigia msumari kuwa "kufa" umeonyesha msimamo wa kiume kweli kweli.

Mungu akubariki upate mtu mwingine mzuri kabisa mnayeendana naye.
 
Aint that the truth? It is weird , wanasema wanataka ndoa.. ndoa ikija wanafanya madudu.
Being in relationship for 3 good years,mnafikia hatua njema kabisa then unakutana na haya madudu,halafu baadaye utashangaa nayeye ni miongoni mwa wanaolalamika kuwa wanaume wamekuwa waongo sana!!!
 
Hajakataa kuwa devil anaweza kuwa mwanaume. But kwenye hii situation ya jamaa devil ni mwanamke.
after three years wakiwa pamoja, leo wanakaribia ndoa halaf mwanamke kumbe anatoka na dereva toyo for one year.. and then anatoa mkundu.. wtf..
Just niambi huyu mwanamke alikosa nn hasa?
Mnaongea tu. devil anaweza akawa mwanaume pia
 
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!

Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)

Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?

To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!

Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!

Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!

Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!

Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!

Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!

La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!

Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!

Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"

Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!

Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
Nakiona kipindi kigumu unachokipitia brthr but stay strong ,,,,,,,,,,umetoa maamuzi magumu but mazuri kuliko ufikiriavyo
 
Sometimes lazima upite kwenye moto ili uwe chuma kigumu.. uwe mtu strong. Sikuwah kuelewa hiyo concept until my ex aliponifanya kitu kibaya na kuniachia kidonda kibaya mno. Nilipata tabu.. ilinichukua two years ku recover.. but nilifanikiwa nikawa mtu wa tofauti kabisa
Mkuu,hapa utapata faraja.ila ukitoka hapa utaendelea kupambana na hali yako..kwa mujibu wa uzoefu wangu.

Ni kwamba utapitia kipindi kigumu mnooo,uta recall moments zote from day one mmekutana.

Utakuwa mtu mwenye mawazo mnoo,utakosa usingizi,utapoteza hamu ya kula.
Itafikia kipindi utaamua kumtafuta,au kumtumia sms..
Hakika nakuaambia,ukifanikiwa kuvuka hizo hatua salama bila kurudiana naye,utakuwa huru daima.

Ila nkuambie tu,hatua za ku recover baada ya break up ni very worse...I have experienced..

Ila nimekuwa imara kuliko siku zote,kuna wakati namshukuru yule binti kunipitisha katika ile situation.
 
Humpati ng'o! Labda ujioe mwenyewe.

Kwa dunia ya leo utqmpata nani ambaye atakupa kipapa wewe peke yako? Siku hizi tunashika huku tangu tunachumbiwa, mpaka tu
Aseee[emoji2958]
 
Pole sana jipange tu upya, mshukuru Mungu kwa kukufunulia hayo kabla hujafunga nae ndoa.
 
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!

Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)

Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?

To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!

Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!

Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!

Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!

Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!

Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!

La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!

Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!

Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"

Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!

Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
Pole sana jipange upya maisha lazima yaendelee.
Kwa kuwa alikosa uaminifu kiasi cha kufumuliwa mari... Anza na kupima afya yako itakupa faraja kama si muelekeo MPYA wa maisha.
 
Miaka 32 wewe ni babu eti hata ukipata mwanamke atajua wewe ni mshamba wa mapenzi yani muda wote huo haukuwa hata na wasichana watano uchague mmoja.
 
Mkuu hii stori yako imefumua makovu yangu,naumia sana jinsi yule manz alivyo nifanyia unyama tena kinacho niumwa zaidi,atii mi nipo job yeye anavusha wanaume ndani mwangu na kufanya nao ule mchezo wetu[emoji26] hawa viumbe wa ajabu sana!! It's just one week since i left her.
Nimeona bora niwe singo tu.

5/5.
 
Aliyekwambia ukiwa na mb.o.o ndefu na nene ndo kumridhisha mwanamke ni nani?...wanawake hawana formula ndugu...mshikaj wangu ana mguu wa mtoto kabsa lkn demu wake alichepuka kwa kibamia ,cha msingi ni jinsi gani unaweza ukatumia hlo gobole lako, unaweza ukawa na kubwa lkn ushindwe kulitumia na mwenye kibamia akawa anajua kukitumia na mwanamke akaridhika kabsa...so take care
Ulijuaje kama mshikaji ana mguu wa mtoto mkuu??
 
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni bruary, nipeleke mahari,(I was very comfortable)

Ilipo
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!

Alafuunawakuta wenyewe wanasema, "yani hawa wanaume siku hizi, wahuniiii, yani wanakutumia tuu alafu wanakuacha!" maza faza kabisa!
 
Angeizima asingegundua hilo aliloligundua.

Swali ni je mbona watu humu wanalaani ushoga lakini kumbe wanafanya ushoga kwa kutumia viumbe tofauti. Wanaogopa kutongoza wanaume wenzao wanaona wawatumie wanawake na wanawake wanaona hawataki mbele sababu hawaoni raha kuingiliwa wanaona heri nyuma. Je hao ni wazungu wanaofanya??? Tukubali kwamba haya yalikuwa yanajificha sasa yapo wazi.
Aisee hizi akili za kufanya hivi sijui watu wanazitoa wapi...halafu wengi wanafanya hivi ila wanakemea ushoga kinafiki..tabu ipo pale pale

Mungu anaangalia
 
Mkuu hii stori yako imefumua makovu yangu,naumia sana jinsi yule manz alivyo nifanyia unyama tena kinacho niumwa zaidi,atii mi nipo job yeye anavusha wanaume ndani mwangu na kufanya nao ule mchezo wetu[emoji26] hawa viumbe wa ajabu sana!! It's just one week since i left her.
Nimeona bora niwe singo tu.

5/5.
Oooh,pole sana kwa majanga mkuu,inauma Sana
 
Back
Top Bottom