Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Kosa ulilolifanya ni kuchukua simu yake na kuiweka mezani karibu yako.

Kosa zaidi ni pale ulipoiacha simu on. Ulitakiwa baada ya kuichukua uizime na maongezi yaendelee.
Kwa hiyo mkuu wewe unaona ni heri angeendelea kutojua kinachoendelea?
 
Hawa wanawake hawa mimi pia yamenikuta amekosea tuma meseji akidhani anamtumia mchepuko wake kumbe kanitumia mimi,

Kilichofuata mpaka hivi sasa Ni story tu nilipiga chini dk ile ile Wala sijasubiri zimepigwa simu leo siku ya tatu naziangalia tu wanawake wapo kibao Sina muda wa kupoteza Na wasaliti
Kwa SMS pekee,ungetulia kwanza mkuu,kabla ya kuamua!
Mimi kitendo cha kuona anafanya mapenzi kinyume na maumbile ndicho kilichoniumiza na kuninyong'onyza kabisa,kiasi cha kumchukia sanaaa!
 
Kwa SMS pekee,ungetulia kwanza mkuu,kabla ya kuamua!
Mimi kitendo cha kuona anafanya mapenzi kinyume na maumbile ndicho kilichoniumiza na kuninyong'onyza kabisa,kiasi cha kumchukia sanaaa!
Hapana mkuu Sina moyo wa kushuhudia usaliti kwa kiasi icho wacha aende tu jamaa nae akafaidi Na mimi niangalie maisha yangu, tumekuwa tunapita vipindi vigumu sana kwenye utafutaji sasa unaongezewa tena janga lingine hili duh wacha nihangaike Na utafutaji tu mapenzi yapo tu hivo Sina presha sana kuhusu hili
 
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!

Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)

Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?

To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!

Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!

Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!

Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!

Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!

Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!

La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!

Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!

Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"

Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!

Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
Pole sana mkuu hawa ndio baadhi ya wanawake wanasabibisha vijana wengi tukose hamu ya kuoa ili kuepuka maumiv n majuto katma maisha.
 
Pole sana mkuu hawa ndio baadhi ya wanawake wanasabibisha vijana wengi tukose hamu ya kuoa ili kuepuka maumiv n majuto katma maisha.
Ahsante!
Inauma sana,kuna wakati nawaza kuwa bora ningekuwa hata na wawili au watatu,kwa sasa ningekuwa naangalia namna ya ku-place wa kumuoa!
 
hahaaaaaaaaaaaa...tatizo hapo wala sio kutoa tigo kwa dereva wa boda boda,tatizo hapo ni KUNOGEWA kwa huyo dada mpaka anahonga,mwache tu ndugu..ingekua umeambiwa kaonja akaacha ingekua sawa kumsamehe,ila kunogewa na huo mchezo ni kesi nyingine,kashaonja vya haramu….hawezi kuacha huo MKUYENGE uliompa raha...
 
Pole sana mkuu .....utampata mwingine mwenye tabia njema utakazopendezwa nazo .....kwa sasa tulia kwanza wanawake sisi muda mwingine akili zetu tunazijua wenyewe.............."yaani me nipewe hela na mwanaume wangu nikamuhonge kenge gani sijui aseee labda dunia ianze upya khaaaa"
 
Pole sana mkuu .....utampata mwingine mwenye tabia njema utakazopendezwa nazo .....kwa sasa tulia kwanza wanawake sisi muda mwingine akili zetu tunazijua wenyewe.............."yaani me nipewe hela na mwanaume wangu nikamuhonge kenge gani sijui aseee labda dunia ianze upya khaaaa"
So painful,unexplainable!!
 
Akina Amber rutty wapo wengi sana sema hatuwajui. Lakn Amber rutty alionekana Wa ajabu sana.Mwanamke kwa Mara ya kwanza uwa anatoa tigo kwa mwanaume anaempenda sana kwahiyo jua huyo huyo boda boda ndio yupo kwenye moyo wa huyo mwanamke wala usiumize Akili juu ya huyo futa kila kumbu kumbu yake maisha yaendeleee.hao viumbe wapo wengi tu
 
Najua jinsi inavyouma........sasa anataka kujiua sababu gani ...aishi na huyo bodaboda wake si alimuona mtu wa maana!?? Wanawake sijui tunafeli wapi daaah .....
Kwa kweli hata akijiua Mungu atanisamehe tu,siwezi kuamua vinginevyo hata nikumuona anajitia kamba,nitamsaidia kuikata kamba asife,lakini siwezi kumrudia!!
 
Back
Top Bottom