Mr. Django
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,830
- 2,434
Na hapo si kuchapiwa tu, hadi katifuliwa mtaroni!! Daaah, maumivu mara 3.kuchapiwa kunauma jamani acheni tu...
Na hapo si kuchapiwa tu, hadi katifuliwa mtaroni!! Daaah, maumivu mara 3.kuchapiwa kunauma jamani acheni tu...
Brother yangu anapenda kusema "Mungu kakupiga kwenzi, shtuka, kimbia"Pole sana bro, mshukuru Mungu amekuonyesha hayo kabla haujamuoa maana amekuepusha na mengi.
Hujaelewa tu kile anachohitaji mkuu!? Wadada wa JF mbona mnavaa miwani ya mbao!? Anahitaji faraja, usijeshangaa akafa yeye kuliko huyo mdada... Msaidieni kwenye hii interim period.Tukupe tu pole kwani kuna lingine unahitaji? Loh
Una mshauri awe na wanawake wengi, hatari watu hamuogopi ukimwi na magonjwa mengine.POLE mkuu kwa mkasa. next time uwe na njia mbadala yaani ukiweza kuwa na wanawake hata watano ,taratibu unawafanyia vetting,hakika hautopata taabu sana kama ukiwa na kamwanamke kamoja...
kwa sasa tulia kwanza,akili irudi at normal
Hao huwa ni mafundi wa kuandika wakiwa nyuma ya keyboard so usimshangae ukirudi kwenye real life ndo huwa hawali hawa siku 3 wanalia tu [emoji3][emoji3].
Mimi wangu huwa simu nashika asee ingawa sio mara zote ila siku tu unamwambia naomba simu yako akisita sita kunipa tu kaachika.
"Some" women are devils..Women are devils..
Yaani umeandika kwa hisia...[emoji22]Mkuu, kwenye mambo kama haya, tujitahidi kuwa serious.Comment kama yako itazidi kumwumiza mleta mada.
kwa nia njema na usalama zaidi. sijamaanisha afanye mapenzi na hao wanawake wengi. tatizo tunaanzaga kusex kwanza,nalo ni kosa.Una mshauri awe na wanawake wengi, hatari watu hamuogopi ukimwi na magonjwa mengine.
Mfano hao watano wote akigundua wana msaliti si atakufa kwa presha, kama una mkosi kwenye mahusiano huwezi kubadili kwa kweli hata uwe nao Mia la muhimu kuomba sana upate aliye sahihi kiasi ambacho unaweza kuvumilia.kwa nia njema na usalama zaidi. sijamaanisha afanye mapenzi na hao wanawake wengi. tatizo tunaanzaga kusex kwanza,nalo ni kosa.
Hee wewe huyu mtu kwa kuandika tu anaonekana ni mtu wa dini mnooooo. Jiongeze bhana mtu wa dini na hayo mastyle ya sodoma wapi na wapi???? [emoji23] eti ambinue[emoji23][emoji23][emoji23]...Ukiwa na mwanamke alieanza kutumoa tigo we hata uwe na mchi/mtwangio at a upige usiku kucha na hata ukipiga wiki kama yule aliyefia baada ya kupiga 7 days of the week bado utaendelea kugongewa tu!!!!Lakini kama amefumuliwa kwa mwaka ni lazima tigo itakuwa na userious kidogo sasa sijajua wewe unapigaje ndani ya huu mwaka hata kumgeuza geuza hakuna????Ungejaribu mbuzi kagoma kwenda na kuna mwanga lazima ungegundua kitu.
Yote kwa yote thanks kwa zawadi/chai ya xmass and boxing day 2018.
Nakusalimia mpendwaHee wewe huyu mtu kwa kuandika tu anaonekana ni mtu wa dini mnooooo. Jiongeze bhana mtu wa dini na hayo mastyle ya sodoma wapi na wapi???? [emoji23] eti ambinue[emoji23][emoji23][emoji23]...
safi sana!!Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"
Nakusalimia mpendwa