Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Pole sana mkuu ila hawa viumbe sijui huwa wanataka nini.
Yan mwanamke anajua kabsa ni jinsi gani unajitoa kwako unafanya kila uliwezalo kwa ajili yako lakin bado anakuona we kama boya tu.
Wewe unajitahd kutunza thaman ya penzi lenu yeye anaenda kugawa uroda kwa bodaboda.
Kikubwa mkuu kabla ya yote nenda kwanza kacheki afya yako maana bodaboda wengine siyo kabisa hadi inafika hatua mchumba wako anafundishwa mchezo mchafu kama huo inauma sana.
Mwache aendelee na bodaboda wake hakufai kabsa mkuu huyo.
Kama inafika stage upo nae mnapanga future yenu lakin mwezio mawazo yako kwa bodaboda hakika humo hakuna mwanamke.
Jipe mda kutafta mwingine huyo hakufai
Ukiwa na pesa na mbo.o ndefu na Nene kama tango...habari za kuchitiwa na mwanamke utazisikia tu kwa majirani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!

Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)

Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?

To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!

Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!

Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!

Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!

Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!

Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!

La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!

Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!

Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"

Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!

Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
Kweli mfalme ana masikio kama ya punda. JF na hizi ID zetu fake zinasaidia kuondoa kile kidude, kisokolokwinyo, uchungu, hasira na mfadhaiko wa moyo. Maana umeshafnya maamuzi ila fundo moyoni bila kusema lingekusumbua. Pole kwa yote ni imani yangu umepata nafuu baada ya kuleta mada.
 
Ukiwa na pesa na mbo.o ndefu na Nene kama tango...habari za kuchitiwa na mwanamke utazisikia tu kwa majirani[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hawa viumbe we acha tu. Unaweza kuwa na hogo lako lakin ukashangaa halitaki anahtaji kibamia. Hawaeleweki hawa (baadhi yao) unaweza kuta jamaa anamkwanja wa kutosha tu lakn unashangaa anachapiwa hata na muuza urembo tu hiyo ipo na watu wanaushahidi.
 
Basi mimi nikajua nikiwa na pesa na mashine ya maana kuchitiwa bye bye mkuu
Mkuu hawa viumbe we acha tu. Unaweza kuwa na hogo lako lakin ukashangaa halitaki anahtaji kibamia. Hawaeleweki hawa (baadhi yao) unaweza kuta jamaa anamkwanja wa kutosha tu lakn unashangaa anachapiwa hata na muuza urembo tu hiyo ipo na watu wanaushahidi.
 
Mkuu sasa hapa unataka tukushauri nini tena, mchangiaji yoyote atakae kwambia uendelee kua na uyo mwanamke atakua mwehu, but all in all not every loss is a loss move on she don't deserve u, ( pia ku cheat normal ) lakini kufumuliwa marinda haisameheki hio
 
Kosa ulilolifanya ni kuchukua simu yake na kuiweka mezani karibu yako.

Kosa zaidi ni pale ulipoiacha simu on. Ulitakiwa baada ya kuichukua uizime na maongezi yaendelee.
Bro kwahiyo ilikuwa vema aendelee kuliwa ndogo hata pale atapokuwa mke wa mtu lakini pia aendelee kuchukua pesa kutokana kwa mumewe na kumuhonga boda boda itafika muda atokua na heshima tena kwa mumwe wake muda mwingine kumchunguza mchumba wako au mpenzi wako ni vema kuepusha matatizo makubwa yatayojitokeza uko mbele kutochunguza simu ya mpenzi wako kwa nadharia yakwamba ayo sio mapenzi utakuja kuoana umuhimu siku utayomkuta mke wako analiwa kwenye chumba na kitanda ulichonunua wewe alafu ukakosa maamuzi sahihi
 
Bro kwaio ilikua vema aendelee kuliwa ndogo hata pale atapokua mke wa mtu lakini pia anedelee kuchukua pesa kutokana kwa mumewe na kumuhonga boda boda itafika muda atokua na heshima tena kwa mumwe wake muda mwingine kumchunguza mchumba wako au mpenzi wako ni vema kuepusha matatizo makubwa yatayojitokeza uko mbele kutochunguza simu ya mpenzi wako kwa nadharia yakwamba ayo sio mapenzi utakuja kuoana umuhimu siku utayomkuta mke wako analiwa kwenye chumba na kitanda ulichonunua wewe alafu ukakosa maamuzi sahihi
Hao huwa ni mafundi wa kuandika wakiwa nyuma ya keyboard so usimshangae ukirudi kwenye real life ndo huwa hawali hawa siku 3 wanalia tu [emoji3][emoji3].
Mimi wangu huwa simu nashika asee ingawa sio mara zote ila siku tu unamwambia naomba simu yako akisita sita kunipa tu kaachika.
 
Back
Top Bottom