Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

KWANZA NIKUPE HONGERA..WANAUME WACHACHE TULOBAKI AMBAO HATUPAPALIKII DEMU.

PILI...NMEKUUNGA MKONO APO ULIPOSEMA """KUFAAAA"""'....[emoji122][emoji122][emoji122]

TATU....WEE NI KIJANA MCHA MUNGU ""NITAMPATA WA KUFANANA NAYE"

IVO, NICHUKUE FURSA HII KUKUPONGEZA KWA KUA MWANAUME ULOKOMAA NA USOENDESHWA NA DEMU .

Wanaume waleo wengi. Wameachaa mbooo ziwaamulie maisha NASIO AKILI.

BRO ,amin nakuambia. UYO DEMU UMGEMSAMEHE MKARUDIANA ULIKUA UNAVUTA LAANA YA MILELE KIASI KWBA USINGEFANIKIWA KTK MAISHA.

NALABDA NIKUHAIKISHIE ILI...
Mimi ni mtalaamu wa Afya.,, mwanamke alowahi kufanya mapenzi kwa Tigo, huwa HAACHI NG'OOO sanasana angekutaka naww UMLE.
Pili, Boda angeendelea kumtifua tuuu piga ua.

Niishie hapo...MKUU, PIGA CHINI UYO MBWA , FANYA MAISHA, MABINTI WAPO WENGI WALIO WASAFI...ILO FUPA WAACHIE WANALOLIWEZA .
 
Pole sana!lts too little too late!! Jipe muda kutafuta watoto halafu hachana na wanawake!! You are too innocent!!
POLE SANA MKUU HAKIKA UPO KATIKA WAKATI MGUMU MUOMBE MUNGU AKUPE UVUMILIVU
Daah'..!! Mnatia huruma nyote wawili.!! Be strong Mkuu!
Pole sana bro, mshukuru Mungu amekuonyesha hayo kabla haujamuoa maana amekuepusha na mengi.
MSIMPE POLE...... MPENI PONGEZI KWA KUA MWANAUME KATIKA WANAUME.

mjinga mmoja, angejiua,, mwingine angemsamehe huyo fala alafu akaendelea kugongwa , mwingine angemsamehe alafu naye angeanza kula mzigo.

Mpeni HONGERA MKUU !!!
 
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!

Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)

Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?

To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!

Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!

Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!

Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!

Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!

Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!

La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!

Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!

Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"

Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!

Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
Pole sana bro.
Umefanya maamuzi sahihi.Kila la kheri.
 
Hivi kwa nini katika nyuzi kama hii,coment kama yako ni maarufu sana?!!
Mkuu kwa mtazamo wangu, mtu asiyependa kukagua simu ya mwenzake ni kwasababu hataki na yake ikaguliwe na ni kwasababu ana mambo ya kuficha.Kama hauna jambo la kuficha, kushika simu ya mwenzio ni kawaida sana.Na ni bora nikague nione kama ana mambo ya pembeni kuliko kutokukagua nikaletewa gonjwa ndani.
 
Back
Top Bottom