Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!

Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)

Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?

To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!

Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!

Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!

Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!

Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!

Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!

La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!

Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!

Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"

Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!

Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
Yes akuna kuwalilia sana hivi viumbe akiharibu mpige kibuti pumzika rudi tena ulingoni
 
sishangai sana kwa lako ila pole sana mkuu. wakati unawaza kununua gari mwenzako anawaza kununua bodaboda so hizo ni pande mbili za sumaku zifananazo mkuu, so usitegeme mutual benefit
 
Ukiwa na pesa na mbo.o ndefu na Nene kama tango...habari za kuchitiwa na mwanamke utazisikia tu kwa majirani[emoji23][emoji23][emoji23]
Aliyekwambia ukiwa na mb.o.o ndefu na nene ndo kumridhisha mwanamke ni nani?...wanawake hawana formula ndugu...mshikaj wangu ana mguu wa mtoto kabsa lkn demu wake alichepuka kwa kibamia ,cha msingi ni jinsi gani unaweza ukatumia hlo gobole lako, unaweza ukawa na kubwa lkn ushindwe kulitumia na mwenye kibamia akawa anajua kukitumia na mwanamke akaridhika kabsa...so take care
 
Its not about sex always...kuna vitu vidogo vidogo tu kama kumsifia,ama tuzawadi twa hapa na pale,attention pia. Akikosa kwako akapata kwa mwengne lazma akucheat hata kama uwe na dushe kubwa ama tajir kama Mo
 
KWANZA NIKUPE HONGERA..WANAUME WACHACHE TULOBAKI AMBAO HATUPAPALIKII DEMU.

PILI...NMEKUUNGA MKONO APO ULIPOSEMA """KUFAAAA"""'....
emoji122.png
emoji122.png
emoji122.png

TATU....WEE NI KIJANA MCHA MUNGU ""NITAMPATA WA KUFANANA NAYE"

IVO, NICHUKUE FURSA HII KUKUPONGEZA KWA KUA MWANAUME ULOKOMAA NA USOENDESHWA NA DEMU .

Wanaume waleo wengi. Wameachaa mbooo ziwaamulie maisha NASIO AKILI.

BRO ,amin nakuambia. UYO DEMU UMGEMSAMEHE MKARUDIANA ULIKUA UNAVUTA LAANA YA MILELE KIASI KWBA USINGEFANIKIWA KTK MAISHA.

NALABDA NIKUHAIKISHIE ILI...
Mimi ni mtalaamu wa Afya.,, mwanamke alowahi kufanya mapenzi kwa Tigo, huwa HAACHI NG'OOO sanasana angekutaka naww UMLE.
Pili, Boda angeendelea kumtifua tuuu piga ua.

Niishie hapo...MKUU, PIGA CHINI UYO MBWA , FANYA MAISHA, MABINTI WAPO WENGI WALIO WASAFI...ILO FUPA WAACHIE WANALOLIWEZA .
Nimependa comment yako! Meta made umemsikia

MSIMPE POLE...... MPENI PONGEZI KWA KUA MWANAUME KATIKA WANAUME.

mjinga mmoja, angejiua,, mwingine angemsamehe huyo fala alafu akaendelea kugongwa , mwingine angemsamehe alafu naye angeanza kula mzigo.

Mpeni HONGERA MKUU !!!
Una akili sana V Putin
Humpati ng'o! Labda ujioe mwenyewe.

Kwa dunia ya leo utqmpata nani ambaye atakupa kipapa wewe peke yako? Siku hizi tunashika huku tangu tunachumbiwa, mpaka tu
Wapo mwanamke unatia aibu kusema hivi! Nasema wapo,mleta mada usikate tamaa wapo wengi tu..
 
Wakati mwingine unaelewa busara za wazee na vitabu vya dini, mapenzi yasifanywe mpaka ndoa. Unaweza kumpa lawama binti bure kumbe mwenzako huko alikotoka ameonja michezo mitamu na mikali zaidi ya unayompa. Unategemea nini? Mwanamke akikunwa sawasawa, akili yote inapotea. Wewe hujaona wanawake wanaoacha mali na maisha ya fahari kwenda kwa wauza mkaa kufuata mashine.

Pole mkuu, ila usikate tamaa na shukuru Mungu amekuepusha na balaa kubwa sana. Bora maumivu ya ndani ya uchumba kuliko ndani ya ndoa, unaweza kutembea huku unaongea peke yako. Huyo hakuwa wako, kuna wako yuko sehemu(pengine kwa mtu) anakusubiri.
 
Pole sana kijana mwenzangu pia hongera kwa kuvunja uchumba,mwanaume lazima ujitambue ,mungu amekuonesha mapema sana
 
Kosa ulilolifanya ni kuchukua simu yake na kuiweka mezani karibu yako.

Kosa zaidi ni pale ulipoiacha simu on. Ulitakiwa baada ya kuichukua uizime na maongezi yaendelee.
Acha upumbavu,wanaume wa dar hata kwenye comment yake utamtambua tu
 
Back
Top Bottom