Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Pole sana mkuu .....utampata mwingine mwenye tabia njema utakazopendezwa nazo .....kwa sasa tulia kwanza wanawake sisi muda mwingine akili zetu tunazijua wenyewe.............."yaani me nipewe hela na mwanaume wangu nikamuhonge kenge gani sijui aseee labda dunia ianze upya khaaaa"
Yule mchepuko wako humuhongi kwa pesa za jamaa?
 
Akina Amber rutty wapo wengi sana sema hatuwajui. Lakn Amber rutty alionekana Wa ajabu sana.Mwanamke kwa Mara ya kwanza uwa anatoa tigo kwa mwanaume anaempenda sana kwahiyo jua huyo huyo boda boda ndio yupo kwenye moyo wa huyo mwanamke wala usiumize Akili juu ya huyo futa kila kumbu kumbu yake maisha yaendeleee.hao viumbe wapo wengi tu


Mmh umejuaje kuwa mwanamke anatoa tigo kwa mwanaume anaempenda sana, inaonekana una uzoefu na hii kitu, coz hata mm nkiangalia wadada walionipa tigo ni wale ambao walikuwa madly in love with me Mango833
 
Total truth..... Ndo maana nkakwambia mwache tu ateme nyongo zake uwez jua nn kimemkuta.
Always weak minds never admit the mistakes,they find someone to be blamed of their own offenses, but strong ones are responsible for the mistakes they commit!!
 
na kweli anaweza akatulia akajipa muda kupumzika na bado akampata mwingine ambae ni majanga Zaidi,kwa kweli hakuna formular mambo mengine..
cha kumshauri tu sometime kuwa bad boy sio mbaya zikitokea case kama izo zinakua sio big deal kwako
 
Mkuu hawa viumbe we acha tu. Unaweza kuwa na hogo lako lakin ukashangaa halitaki anahtaji kibamia. Hawaeleweki hawa (baadhi yao) unaweza kuta jamaa anamkwanja wa kutosha tu lakn unashangaa anachapiwa hata na muuza urembo tu hiyo ipo na watu wanaushahidi.
Kamwe huwez jua mwanamke anataka nn
 
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!

Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)

Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?

To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!

Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!

Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!

Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!

Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!

Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!

La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!

Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!

Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"

Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!

Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
Mkuu kwanza pole sana kwa mtiani mzito, pili nikupe pongezi kwa ujasir uliouonyesha coz mlikuwa ndani faragha ndipo ulipogundua usaliti kwa mpenzi wako ungeliweza kumdhuru kwa namna yoyote hatimae kusababisha lolote mwisho wa siku mngegawana majengo ya serikali, kikubwa ni kutuliza akili na kusonga mbele coz sio mwisho wa maisha
 
Ukiwa na pesa na mbo.o ndefu na Nene kama tango...habari za kuchitiwa na mwanamke utazisikia tu kwa majirani[emoji23][emoji23][emoji23]
Nani kakudanganya?
Ukiwa na hayo unayosema atataka kutoka na asiye na fedha au mwenye mb. ndogo na nyembamba aone atajisikaje...
Hawa ni wa kuishi nao kwa kutumia akili tu kama babu zetu walivyotuasa!
 
Inaonekana shemeji anajambia mbali,maana wanawake wenye makalio ni trouble sana,akili zao na kujiamini kwao huwa kupo huko,na kimsingi ukioa au kuwa na mwanamke mwenye nyuma ya kutosha kuumwa kichwa itakuwa ni sehemu ya maisha yako,na kimsingi kama ukiwa umeoa ujue utawahi sana kufa,huo ni ukweli mchungu ambao wanaume wengi hatupendi kuusikia,ila fanyeni uchunguzi na mtakubaliana na mimi,hao ni wa kuwatumia tu,na si wa kufanya nao mipango ya future,haijalishi una pesa au hauna,kummiliki mwanamke hasa wa dizaini hiyo ni majanga,ukitaka kuamini hilo angalia mitandaoni picha zao,wote huwa wanataka kalio lionekane,ukijiuliza na kupata jibu kwanini wote picha zao ni za aina moja basi utakuwa umeijua akili yao ilipo na hawatakupa tabu tena,pole jamaa yetu kwa mikasa sucasa!
 
Najua jinsi inavyouma........sasa anataka kujiua sababu gani ...aishi na huyo bodaboda wake si alimuona mtu wa maana!?? Wanawake sijui tunafeli wapi daaah .....
Hiyo ya kujiuwa ana mtisha tu jamaa.
 
Akina Amber rutty wapo wengi sana sema hatuwajui. Lakn Amber rutty alionekana Wa ajabu sana.Mwanamke kwa Mara ya kwanza uwa anatoa tigo kwa mwanaume anaempenda sana kwahiyo jua huyo huyo boda boda ndio yupo kwenye moyo wa huyo mwanamke wala usiumize Akili juu ya huyo futa kila kumbu kumbu yake maisha yaendeleee.hao viumbe wapo wengi tu
Sio kwa wote mkuu hata nimpende kiasi gani siwezi kufanya huo ujinga.
 
Pole sana kaka. Umeandika sio ili kusaka ushauri lakini ulihitaji ku-steam off.

Nakuelewa aisee
 
Kimsingi kuwa na demu mmoja ni balaaa yani Haifaii kwa Afyaa labda kama unaishi nae ndani kama mkeo...!!

Pole sana kaka kimsingi usirudi Nyumaaaa... Kamwe usirudi mzee.. Labda kama na wewe utaendelea kumfukua topeee...
 
Inaonekana shemeji anajambia mbali,maana wanawake wenye makalio ni trouble sana,akili zao na kujiamini kwao huwa kupo huko,na kimsingi ukioa au kuwa na mwanamke mwenye nyuma ya kutosha kuumwa kichwa itakuwa ni sehemu ya maisha yako,na kimsingi kama ukiwa umeoa ujue utawahi sana kufa,huo ni ukweli mchungu ambao wanaume wengi hatupendi kuusikia,ila fanyeni uchunguzi na mtakubaliana na mimi,hao ni wa kuwatumia tu,na si wa kufanya nao mipango ya future,haijalishi una pesa au hauna,kummiliki mwanamke hasawa dizaini hiyo ni majanga,ukitaka kuamini hilo angalia mitandaoni picha zao,wote huwa wanataka kalio lionekane,ukijiuliza na kupata jibu kwanini wote picha zao ni za aina moja basi utakuwa umeijua akili yao ilipo na hawatakupa tabu tena,pole jamaa yetu kwa mikasa sucasa!
hahahhahahah!!
 
Back
Top Bottom