Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,385
- 5,817
Including your motherWomen are devils..
Including your motherWomen are devils..
😂😂😂😂😂 mate!!Ukiwa na pesa na mbo.o ndefu na Nene kama tango...habari za kuchitiwa na mwanamke utazisikia tu kwa majirani[emoji23][emoji23][emoji23]
Uwezi jua kimemkuta nini..... But for sure some of them are real devils.Including your mother
Ahsante sana ndugu!Mmm makubwa pole sana, wala usitafute mwingine haraka tuliza kichwa kwanza utaangukia pua tena
Ahsante sana!Aisee..pole Sanaa mkuu ingekuwa hajafumuliwa marinda ningekushauri njia ya kupita ila kwa hatua hii ya kuliwa tigo mwache atangulie tu kutuandalia makao hakuna namnaa[emoji26]
Amekufanyaje mkuu!??M popote ulipo God is watching you...black mamba wewe loh
Sihitaji lolote Khantwe,hata hivyo ahsante kwa pole!!!Tukupe tu pole kwani kuna lingine unahitaji? Loh
Being in relationship for 3 good years,mnafikia hatua njema kabisa then unakutana na haya madudu,halafu baadaye utashangaa nayeye ni miongoni mwa wanaolalamika kuwa wanaume wamekuwa waongo sana!!!Daah'..!! Mnatia huruma nyote wawili.!! Be strong Mkuu!
Duuh,I don't regret for that aisseKosa ulilolifanya ni kuchukua simu yake na kuiweka mezani karibu yako.
Kosa zaidi ni pale ulipoiacha simu on. Ulitakiwa baada ya kuichukua uizime na maongezi yaendelee.
Possibly there are some innocents!!!Women are devils..
Kizazi chenu hiki cha utandawazi ni balaa sana, wasichana hawana aibu na miili yao tena, wanachoona ni kugawa kila kiungo kichezewe.Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!
Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)
Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?
To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!
Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!
Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!
Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!
Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!
Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!
La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!
Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!
Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"
Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!
Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
Ahsante ndugu,hapa ndipo mahali kwa sasa pananifanya nijisikie angalau ahueni,maana unaweza kujikuta umefanya tukio baya na kuishia jela!Mkuu..... Mi nkupe pole sana .....
Mitihani kama iyo ipo.. Mungu akupe nguvu akupunguzie maumivu uyapatayo mwanangu.
Maana kurudi nyuma ni kazi miaka 3 sio mchezo ni safari ndefu penginepo ulishamtambulisha kwenu.... Kwenda nae mbele ni ngumu zaidi, uyo ni chizi ulimkea na kumweshimu utu wake ila kachagua sehem ata faida yoyote apati chochote zaidi ya kujiaribu, achana nalo tu dubwasha la hivyo trust me mshukuru Mungu umegundua mapema angekusbua sana badae... Wanawake wapo kibao wanaojielewa japo uwepata aliekamilika....
Asikwambie mtu mchumba unae taka kuoa mchunguze sana tena atua za mwshon mcheki sana maana ukiteleza umepotea.
Umenena vemà!!!Mkuu kwa mtazamo wangu, mtu asiyependa kukagua simu ya mwenzake ni kwasababu hataki na yake ikaguliwe na ni kwasababu ana mambo ya kuficha.Kama hauna jambo la kuficha, kushika simu ya mwenzio ni kawaida sana.Na ni bora nikague nione kama ana mambo ya pembeni kuliko kutokukagua nikaletewa gonjwa ndani.
Ahsante dada Sakayo!!!Pole mkuu!...
Tena pole sana!