Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Inaweza akawa anampenda,lakini wanawake hawatabiriki,kila siku akiamka anaamka na akili mpya,ukiwa mweupe atataka mweusi,ukiwa na dushe atasema unamuumiza atatafuta bamia,ukiwa mrefu atasema hauna pesa,ukiwa una gari atataka fundi nguo,yaani kama mnajenga mnara wa babeli,ukimwambia alete nyundo,yeye analeta jembe,binafsi nilishakula kiapo kuwa mwanamke atakayekula hela yangu kwa nafasi na bila ya mimi kuwa na kinyongo ni yule aliyenizalia mtoto na kuthibitika kuwa huyo mtoto kweli ni wangu,kinyume na hapo nitaendelea kuwadonoa kwa mali kauli mwanzo mwisho...
hahahahahahah
 
Kwa hali ya leo tuwe me hakuna namna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ole wako nikukute sehemu unajibebisha asa. Ole wako!
 
Mfano hao watano wote akigundua wana msaliti si atakufa kwa presha, kama una mkosi kwenye mahusiano huwezi kubadili kwa kweli hata uwe nao Mia la muhimu kuomba sana upate aliye sahihi kiasi ambacho unaweza kuvumilia.
hahahahahahaahhaaaa..duh watano wote wawe vimeo,hapo kuna shida basi.
ila mahusiano ya sasa ni mtihani sana sana kuliko hata necta ya form four.
mimi mwenyewe hapa nilijikuta naingia uhusiano na mdada mmoja ambaye alikuwa na mchumba wake na akaniambia alitolewa mahali,ila hakumpenda huyo mkaka,basi mapenzi yote akayahamishia kwangu,nikajiona nimepata. sasa wakati nasema nitulie nimtengeneze vizuri,mara paaaa nikagundua tena anatoka na mkaka mwingine ambaye anasema ni mzazi mwenzake maana ana mtoto mmoja,dah roho ikaumia sana. huku tena kumbe yule mchumba ambaye anajulikana kwao mipango inaendelea...
sasa basi,tumejikuta tuko wanaume watatu,ila mimi ndiyo najua tuko watatu,ila wale wawili inawezekana wanajijua wako wenyewe au wawili tu.
sasa mdada alipokuwa anaishi kodi imeisha na anahama.anakohamia ndiyo anataka niwe naye huru,sasa nazidi kutowaelewa wadada wa siku hizi...
mapenzi ya sasa ni usanii sana...so,hata mimi napitia changamoto kama hizo mkuu
 
Inaonekana wanaoliwa tigo wananogewa sana mana wanachanganyikiwa kabisa yani.
 
Mkuu kuna kitu kinaitwa bahati unaweza ukawa na fusoo la wapenzi kwa ajili ya kuchagua nani sahihi na wote ukatoka hamna kitu,.
 
Umegundua na bado upo naye,anataka kuhamia karibu na kwako ili awe huru!wakati huo huo ameshatolewa mahari,be careful aisee,kinachoweza kutokea hapo ni mauti,direct or indirect!!!
 
Pole sana mkuu nachokushauri hebu tulia kwanza tena usithubutu kunywa pombe kabisa.pili usithubutu kushabikia CHADEMA wala CCM ndo utapotea zaidi
 
ni kweli boss,huwa hizi vitu zinatokea sana,na ndiyo maana unakuta mtu anakwambia dah sina bahati na mapenzi....
 
"A man who keeps a woman before money invites disaster "Tarrchi the pickpocket to David chissolm(the wary of transgressors names hardley chase)
The wary transgressor james hadley chase...
David alikua analeta uroho wa demu
 
Umegundua na bado upo naye,anataka kuhamia karibu na kwako ili awe huru!wakati huo huo ameshatolewa mahari,be careful aisee,kinachoweza kutokea hapo ni mauti,direct or indirect!!!
dont worry man,mi ni master planner wa hizi ishu,i know how to play well pasipo kuacha hatia wala ushahidi hasa jambo nikiliamua. hata hiyo kujua huyo mzazi mwenzake anatoka naye nilichukua two days nights nikaingia kazini,kisha nikampa mdada report yake ikiwa clear,akabaki kushangaa nimemuelezea kila hatua ...mwenyewe kanyoosha mikono. mission under progress mkuu....
 
Mkuu hawa viumbe we acha tu. Unaweza kuwa na hogo lako lakin ukashangaa halitaki anahtaji kibamia. Hawaeleweki hawa (baadhi yao) unaweza kuta jamaa anamkwanja wa kutosha tu lakn unashangaa anachapiwa hata na muuza urembo tu hiyo ipo na watu wanaushahidi.
Tena kwa upewa hereni za jero tu anatoa mzigo kwa chinga muuza urembo.
Hivi unafikilia pale edeni aliongea nn na yule nyoka? Ni wao wawili tu ndo wanajua walichoongea. Ndoo maana tangia hapo wanawake wakawa too complicate to deal with. Sanasana ishini nao kwa akili.
 
dont worry man,mi ni master planner wa hizi ishu,i know how to play well pasipo kuacha hatia wala ushahidi hasa jambo nikiliamua. hata hiyo kujua huyo mzazi mwenzake anatoka naye nilichukua two days nights nikaingia kazini,kisha nikampa mdada report yake ikiwa clear,akabaki kushangaa nimemuelezea kila hatua ...mwenyewe kanyoosha mikono. mission under progress mkuu....
Kila la kheri,if you do that willingly,remember what goes around comes around!!!
 
Pole sana mkuu nachokushauri hebu tulia kwanza tena usithubutu kunywa pombe kabisa.pili usithubutu kushabikia CHADEMA wala CCM ndo utapotea zaidi
Sinywi pombe mkuu,wala siwezi kunywa kwa sababu ya upuuzi wa MTU mmoja!

Kwa habari ya CCM VS CHADEMA sijaona connection na mahusiano,unaweza kunielewesha zaidi!
 
dont worry man,mi ni master planner wa hizi ishu,i know how to play well pasipo kuacha hatia wala ushahidi hasa jambo nikiliamua. hata hiyo kujua huyo mzazi mwenzake anatoka naye nilichukua two days nights nikaingia kazini,kisha nikampa mdada report yake ikiwa clear,akabaki kushangaa nimemuelezea kila hatua ...mwenyewe kanyoosha mikono. mission under progress mkuu....
Bado uko nae mwanamke ambaye katolewa mahari na wanaume wawili tofauti huyo mwanamke upo kwa ajili ya kumchezea tu hauko serious nae.
 
Kama nimemuelewa ni kwamba mmoja kati ya hao wanaume wa mwanamke wake ni mzazi mwenzake,halafu jamaa wa pili amemlipia mahari,yeye ni wa tatu na anaendelea kutoka na huyo mdada mdanganyifu,sijui nimeelewa!!!????
 
Back
Top Bottom