Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Humpati ng'o! Labda ujioe mwenyewe.

Kwa dunia ya leo utqmpata nani ambaye atakupa kipapa wewe peke yako? Siku hizi tunashika huku tangu tunachumbiwa, mpaka tu
Muwe tayari pia kwa matokeo yake,mkiachwa pia mjue kukubaliana na uhalisia,sio mkiachwa mnakuwa walalamishi kuwa wanaume wa siku hizi ni waongo sana!!!
 
Mkuu,hapa utapata faraja.ila ukitoka hapa utaendelea kupambana na hali yako..kwa mujibu wa uzoefu wangu.

Ni kwamba utapitia kipindi kigumu mnooo,uta recall moments zote from day one mmekutana.

Utakuwa mtu mwenye mawazo mnoo,utakosa usingizi,utapoteza hamu ya kula.
Itafikia kipindi utaamua kumtafuta,au kumtumia sms..
Hakika nakuaambia,ukifanikiwa kuvuka hizo hatua salama bila kurudiana naye,utakuwa huru daima.

Ila nkuambie tu,hatua za ku recover baada ya break up ni very worse...I have experienced..

Ila nimekuwa imara kuliko siku zote,kuna wakati namshukuru yule binti kunipitisha katika ile situation.
 
Hawa wanawake hawa mimi pia yamenikuta amekosea tuma meseji akidhani anamtumia mchepuko wake kumbe kanitumia mimi,

Kilichofuata mpaka hivi sasa Ni story tu nilipiga chini dk ile ile Wala sijasubiri zimepigwa simu leo siku ya tatu naziangalia tu wanawake wapo kibao Sina muda wa kupoteza Na wasaliti
 
Hawa wanawake hawa mimi pia yamenikuta amekosea tuma meseji akidhani anamtumia mchepuko wake kumbe kanitumia mimi,

Kilichofuata mpaka hivi sasa Ni story tu nilipiga chini dk ile ile Wala sijasubiri zimepigwa simu leo siku ya tatu naziangalia tu wanawake wapo kibao Sina muda wa kupoteza Na wasaliti
Kumsikiliza Ni natural justice mkuu..wenda kuna mtu mwingine alikuwa anatumia simu yake
 
Pole sana huyo si wako angekusumbua il shukuru Mungu kugundua hilo mapema
 
Kumsikiliza Ni natural justice mkuu..wenda kuna mtu mwingine alikuwa anatumia simu yake
Wapi mkuu usiruhusu ili kabisa alivyotuma ile meseji nikakaa kimya kama dk Moja hivi ikaja meseji ya utetezi wa kipumbavu kweli kweli, nikaandika yangu Moja tu kumuaga endelee salama Na maisha yake Basi maana siwezi poteza muda Na mwanamke mpumbavu kabisa Nina mambo mengi sana ya kufanya najua huko aliko anafurahia penzi jipya
 
Kosa ulilolifanya ni kuchukua simu yake na kuiweka mezani karibu yako.

Kosa zaidi ni pale ulipoiacha simu on. Ulitakiwa baada ya kuichukua uizime na maongezi yaendelee.
Angeizima asingegundua hilo aliloligundua.

Swali ni je mbona watu humu wanalaani ushoga lakini kumbe wanafanya ushoga kwa kutumia viumbe tofauti. Wanaogopa kutongoza wanaume wenzao wanaona wawatumie wanawake na wanawake wanaona hawataki mbele sababu hawaoni raha kuingiliwa wanaona heri nyuma. Je hao ni wazungu wanaofanya??? Tukubali kwamba haya yalikuwa yanajificha sasa yapo wazi.
 
Pole sana mkuu, Awa viumbe dada zetu Mungu pekee ndo anawajua aliwaumba vipi.. binadamu tuna judge eti wanataka Pesa nooo!! Hili ni fumbo kama fumbo la yesu na mtume wataludi lini.. pole sana
 
Back
Top Bottom