Nimeumaliza mwendo kwenye haya mapenzi

Nimeumaliza mwendo kwenye haya mapenzi

At this moment, it's either you're IN or OUT !! Continue stressing yourself won't reverse what has already happen !!!
 
kweli mkuu maandiko yanasema tuishi na wmanamke kwa akili, kwa hiyo kama huna akili huwezi kuishi na mwanamke,kama una akili akikupiga tukio,unatumia akili hizo hizo bila kuumiza nafsi yake au yake, ili maisha yaendelee. hivi unafikiri mke wa Ayubu alioomwambia kufuru ufe, hv unafikiri aliwaza kwamba atakuwa mjane?

🤣 tayari huko, sasa ni muda rasmi wa kuachana na mapenzi na kufanya mambo mengine 😂😂
Aaah sana!
 
rekebisha maneno yako Mungu hakoseagi wewe. Umekosea mwenyewe kuoa unaleta makasiriko hadi unasema Mungu kakosea kuwaumba wanawake kutoka kwenye ubavu wetu.
Mungu asivyo na upendeleo sasa, hapo wewe na unayemtuhumu Mungu ameshawaweka kwenye kapu moja! Angeshuka leo, wewe na jamaa unayemtuhumu wote mngeenda jehanamu! Sio kwa matusi haya...
 
Tiririka ueleweke, wenzako wengi walishapitia huko utapewa dawa, mimi nakushauri tafuta demu mwingine haraka sana bila kupoteza muda
 
Pole sana kiongozi, kwa hiyo unataka kusema mpenzi wako kaenda kwa mpenzi wake?
 
Not seriously na siungani nae
But kuna wakati unawaza hadi unakosa majibu
Pata picha unamtunza mkeo 100%
Una struggle had mwisho
Afu mkeo analiwa na bodaboda wake ...

Kuna point unafikia unawaza had nje na kujikuta umemkufulu MUNGU
Thus unahitaji kutubu mala nyingi ya kadiri unaweza.
Kuliwa na bodaboda kunawezekana kuna sababu mbalimbali zilizopelekea kuliwa

Kuwa mwanaume sio kitu rahisi,unatakiwa utafute hela na usichoke kuwa karibu na mkeo na sio karibu tu na ujue kuichakata mbususu vizuri kwa namna anavyopenda

Lakini sasa kupambana na life na kuchakata mbususu vizuri hivi vitu kuvifanya vyote kwa uzuri kwa pamoja huwa ni ngumu mno
 
In nikiwaza wanavyojiremba, mavazi, kelele, kufanya ujinga, utoto haukwishi, hisia za sex , how they dress, things they are doing, nikiwaona viwanja na kujiuza Kwao, nilishaacha huruma Kwa mwanamke nimebaki na huruma Kwa wazee, wenye mimba na wanaonyesha Kwa kulingana na nature.

Hainaga hasira we butua K-Vant narudia butua K-Vant
 
Wajinga hao makasiriko yao wamesahau walibebwa tumboni miezi 9 na hao hao wanawake walotoka kwenye ubavu wetu. Ukosee kuoa mwenyewe umbebeshe Mungu lawama. "Embu rudini mkatubu mpate baraka maishani mwenu"
Kubebwa tumboni miezi tisa sio kigezo cha kutetea ujinga wa wanawake..[emoji23][emoji23]acha povu mzee
 
Kati ya kosa kubwa ambalo Mungu alifanya ni kuutoa ubavu wetu wa kushoto kuwaumba hawa viumbe.

Wanawake ni watu wabaya sana! Nimepigwa tukio ambalo hata siamini kama wife anaweza kufanya, nashindwa kuandika, mikono inatetemeka.

Natamani nimzimishe kwa kumbana koo na meno kama simba anavyoua windo lake.

Hakika nimedandia mtumbwi wa vibwengo.

I'm done with women!
Kwa hiyo ukikosewa wewe na mkeo ndio Mungu alifanya makosa kwa wote? Pambana na hali yako, acha kulialia
 
Sema tukio gani tukushsuri adhabu ya kutoa
 
mkubwa rekebisha maneno yako Mungu hakoseagi wewe. Umekosea mwenyewe kuoa unaleta makasiriko hadi unasema Mungu kakosea kuwaumba wanawake kutoka kwenye ubavu wetu.
Kuna vile umetaka kumtetea na kuonesha utukufu na ukuu wa Mungu kwamba hakosei na hatawai kukosea lakini kwa hivi ulivyojibu hata huyo Mungu mwenyewe amekaa anakushangaa.

Kama tunataka kumuinua Mungu lazima tuchunge na tufanye yale ya Kimungu.

Upendo ni sifa ya Mungu. Nadhani mtoa mada anahitaji zaidi faraja na upendo kuliko kumwita mbwa au mjinga.

Lazima uwe balozi mzuri wa Mungu ili hao wasio mkiri waone sababu ya kumkiri

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Kati ya kosa kubwa ambalo Mungu alifanya ni kuutoa ubavu wetu wa kushoto kuwaumba hawa viumbe.

Wanawake ni watu wabaya sana! Nimepigwa tukio ambalo hata siamini kama wife anaweza kufanya, nashindwa kuandika, mikono inatetemeka.

Natamani nimzimishe kwa kumbana koo na meno kama simba anavyoua windo lake.

Hakika nimedandia mtumbwi wa vibwengo.

I'm done with women!
Maadamu ni mwanadamu tegemea chochote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom