kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 10,539
- 17,487
Sasa kama ni ngumu mjinga ni nani?Kuliwa na bodaboda kunawezekana kuna sababu mbalimbali zilizopelekea kuliwa
Kuwa mwanaume sio kitu rahisi,unatakiwa utafute hela na usichoke kuwa karibu na mkeo na sio karibu tu na ujue kuichakata mbususu vizuri kwa namna anavyopenda
Lakini sasa kupambana na life na kuchakata mbususu vizuri hivi vitu kuvifanya vyote kwa uzuri kwa pamoja huwa ni ngumu mno
Mkeo haoni kama unatafuta maisha?
Haoni kama unapambana?
Kwanini asiwe na subira na yeye?