Nimeumaliza mwendo kwenye haya mapenzi

Nimeumaliza mwendo kwenye haya mapenzi

Tusimulie , me napenda kusoma mikasa ya mapenzi inanisaidia napunguza kiherehere kwa mtoto wa Mama mkwe !! Hata tukio likija kutokea athari inakua kidogo sana 😀😀 usikate mtu Panga mkuu
Nashindwa nianzie wapi... ngoja nipoe mkuu
 
Dawa ya mapenzi ni mapenzi tuh brother huna haja ya kukufuru tafuta utelezi uteleze, kisha mwagilia moyo kwa Kilimanjaro baridiii
 
Get yourself two sweet madams. Have a threesome with them. You will enjoy these women. Alafu hiyo nguvu unayotumia kwa huyo alokutenda tumia kwa hao. Utaenjoy baba. Na hutojutia hawa wanawake trust me.
 
dawa ya mapenzi ni mapenzi tuh brother huna haja ya kukufuru tafuta utelezi uteleze, kisha mwagilia moyo kwa Kilimanjaro baridiii

Naam naam naam
Dawa ya moto ni moto!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom