Nimeumaliza mwendo kwenye haya mapenzi

Nimeumaliza mwendo kwenye haya mapenzi

Kati ya kosa kubwa ambalo Mungu alifanya ni kuutoa ubavu wetu wa kushoto kuwaumba hawa viumbe.

Wanawake ni watu wabaya sana! Nimepigwa tukio ambalo hata siamini kama wife anaweza kufanya, nashindwa kuandika, mikono inatetemeka.

Natamani nimzimishe kwa kumbana koo na meno kama simba anavyoua windo lake.

Hakika nimedandia mtumbwi wa vibwengo.

I'm done with women!

Welcome to the club brother, tumeshapitia hayo na tuna tafuna mbususu tu sasa na maisha yanaenda kwa 5G now
 
Usimkufuru Mungu kwa wewe kushindwa kuhandle wanawake wako. Mpe mwanamke thamani yake, if she is a whore mchukulie hivyo. Kama hakupendi usiforce. Jifunze kuishi na wanawake. Wewe sio wa kwanza kutendwa na sio wa mwisho. Make sure unajua why huyo mwanamke yupo na wewe, halafu act accordingly.

Tatizo ni unaanza mahusiano na a slut anakuigizia she is decent na wewe unaamini, au unaforce mahusiano na mwanamke asie na hisia na wewe. Lazima uumie na uone wanawake wote wabaya.
 
Mapenzi hayakuumbiwa kila mtu, ukiona yanakuchanganya achana nayo chukua jembe nenda shambani ukalime mazao.

Tatizo la kuingia kwenye mahusiano kichwa kichwa bila kujielewa ndo madhara yake hayo.

Btw, pole Sana mkuu, time will heal up your wounds.
 
Usimkufuru Mungu kwa wewe kushindwa kuhandle wanawake wako. Mpe mwanamke thamani yake, if she is a whore mchukulie hivyo. Kama hakupendi usiforce. Jifunze kuishi na wanawake. Wewe sio wa kwanza kutendwa na sio wa mwisho. Make sure unajua why huyo mwanamke yupo na wewe, halafu act accordingly.

Tatizo ni unaanza mahusiano na a slut anakuigizia she is decent na wewe unaamini, au unaforce mahusiano na mwanamke asie na hisia na wewe. Lazima uumie na uone wanawake wote wabaya.
Nakazia hapa
 
Kweli asee
 
Kati ya kosa kubwa ambalo Mungu alifanya ni kuutoa ubavu wetu wa kushoto kuwaumba hawa viumbe.

Wanawake ni watu wabaya sana! Nimepigwa tukio ambalo hata siamini kama wife anaweza kufanya, nashindwa kuandika, mikono inatetemeka.

Natamani nimzimishe kwa kumbana koo na meno kama simba anavyoua windo lake.

Hakika nimedandia mtumbwi wa vibwengo.

I'm done with women!

Mapenzi ni kwa ajili ya wanaume sio wavulana

Kila siku tunawaambia….mnakaza shingo tu…..
 
Usimkufuru Mungu kwa wewe kushindwa kuhandle wanawake wako. Mpe mwanamke thamani yake, if she is a whore mchukulie hivyo. Kama hakupendi usiforce. Jifunze kuishi na wanawake. Wewe sio wa kwanza kutendwa na sio wa mwisho. Make sure unajua why huyo mwanamke yupo na wewe, halafu act accordingly.

Tatizo ni unaanza mahusiano na a slut anakuigizia she is decent na wewe unaamini, au unaforce mahusiano na mwanamke asie na hisia na wewe. Lazima uumie na uone wanawake wote wabaya.
Hujui ukiongeacho natamani yakukute ndo ujue kuwa inauma kiasi gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom