Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,519
Sasa akili zako zinakuwa zimekusaidia nini hadi ukaoa mwanamke mpumbavu? Hapo inaonyesha huna akili.Lakini pia mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake... maana yake ni kuwa mtu anaweza kuwa na akili akaoa mwanamke mpumbavu and vice versa. Ila kauli mbiu ya kama huna akili usioe naiunga mkono kwa asilimia mia moja