Kwamba hakutumia akilisi hua wanasemaga "ishi naye kwa akili"
Kweli mkuu maandiko yanasema tuishi na wmanamke kwa akili, kwa hiyo kama huna akili huwezi kuishi na mwanamke,kama una akili akikupiga tukio,unatumia akili hizo hizo bila kuumiza nafsi yako au yake, ili maisha yaendelee. hivi unafikiri mke wa Ayubu alipomwambia kufuru ufe, hv unafikiri aliwaza kwamba atakuwa mjane?Damn! You...
Huwezi kutumia maneno ya kinidhamu kumkosoa mtu??rekebisha maneno yako Mungu hakoseagi wewe. Umekosea mwenyewe kuoa unaleta makasiriko hadi unasema Mungu kakosea kuwaumba wanawake kutoka kwenye ubavu wetu.
😂😂😂😂DahOya usijiue hadi uwe umetusimulia imekuaje...
Wajinga hao makasiriko yao wamesahau walibebwa tumboni miezi 9 na hao hao wanawake walotoka kwenye ubavu wetu. Ukosee kuoa mwenyewe umbebeshe Mungu lawama. "Embu rudini mkatubu mpate baraka maishani mwenu"Unataka kusema Mungu alifanya makosa kumuumba mwanamke, unasahau hata aliyekuleta duniani ni mzazi wako wa kike [emoji848]
Ah mapenzi wewe [emoji1][emoji119]
Kitendo cha kumkosoa Mungu kimenikera sana,laana zingine tunajitakia wenyewe, Badala kutatua tatizo ndo unaongeza mikosi.[emoji35][emoji35][emoji35]Itakuwa umevuta mjani wewe siyo bure...
Kavurugwa huyoDuuuh , eti mtu anaandika kabisa "kati ya kosa Mungu alifanya???
Siriazlyyyy??😳
Mkono wangu haujawahi nisalitiKati ya kosa kubwa ambalo Mungu alifanya ni kuutoa ubavu wetu wa kushoto kuwaumba hawa viumbe.
Wanawake ni watu wabaya sana! Nimepigwa tukio ambalo hata siamini kama wife anaweza kufanya, nashindwa kuandika, mikono inatetemeka.
Natamani nimzimishe kwa kumbana koo na meno kama simba anavyoua windo lake.
Hakika nimedandia mtumbwi wa vibwengo.
I'm done with women!