Alihama Lowassa hata CCM haijatingishika, ndio iwe hao madogo 😂
Slaa alitoka chadema na hakuna lililotokea.
Ukiwepo mahali unajiona una umuhimu sana na ukiondoka taasisi itaangamia, ila ukiondoka kweli unashangaa mambo yanaenda kama ilivyokuwa 😂 ni sawa na mbowe tuu anavyoshangaa chadema ya sasa