The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,987
- 117,380
Huyu ndio nyuzi zake hizi,toka siku ya kwanza maria anajiunga jf kila mtu alisema ni malaya, nyuzi zake nyingi ni matangazo. leo ameona bora awe muwazi tu
Hata kabla hajabadili ile user name yake ya mwanzo ya "Maua" nyuzi zake zilikua hivi hivi tu.