The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,960
- 117,333
Naweza kutuma advance kabisa ili kazi ifanyike bila mawazo?kama umemuelewa nitafanya hivyo, sitaki uteseke kabisaaa kaka angu kipenzi😅😇 ila tukikuomba kibunda usiache kutoboka
Naweza kutuma advance kabisa ili kazi ifanyike bila mawazo?kama umemuelewa nitafanya hivyo, sitaki uteseke kabisaaa kaka angu kipenzi😅😇 ila tukikuomba kibunda usiache kutoboka
Mpende ndugu yangu deesal anapitia kipindi kigumu kama wewe, bila shaka mtayajenga.Thaman yangu haipimwi Kwa pesa ,nikikupenda nitakupa hata bure
Usimtishe sana hela siyo kila kitukama umemuelewa nitafanya hivyo, sitaki uteseke kabisaaa kaka angu kipenzi😅😇 ila tukikuomba kibunda usiache kutoboka
SupportiveFamiliya mko On time 😂🙌
Ni ugumu gani naopitia mimi
haya ndo mambo sasa,, kazi yako naimaliza leo leo mapemaaaa kabla ya jua kuzama💃Naweza kutuma advance kabisa ili kazi ifanyike bila mawazo?
marry tulia kidogo niokote😅 bila hivyo kaka angu hawezi kutobokaUsimtishe sana hela siyo kila kitu
Tuma na yakutolea nije kama upepoNasaidiwaje
Heeee nikupe tena hela,ushafanyiwa hivyo na wangapi,kwamba wewe ni wa Aina gani Kwa mfanoTuma na yakutolea nije kama upepo
Dodo hilo mkuu,Nipo hapa kamanda, ilete ilete ilete tuifanyie kazi
Ahaaaaa ok nimekuelewa mpendwamarry tulia kidogo niokote😅 bila hivyo kaka angu hawezi kutoboka
Ukitaka wenye positive mind kama wewe tembelea nyumbani kwetu kwenye uzi wa eFootball na uzi wa korea utatukuta.nikitoka mimi unafata wew kwenye positive mind huku JF 😎 ngoja tuendelee kuwatafuta wenzetu mdogo mdogo
deesal we fala upo wapi?Usimtishe sana hela siyo kila kitu
Bila kuchoka.Supportive
nitatembelea tatizo sielewi mambo ya mpira jamni si nitabaki nawashangaa tu au kuna zaidi ya hivyo kwenye uzi wa efootball?,, huko kwenye korean dram nitakuja😇Ukitaka wenye positive mind kama wewe tembelea nyumbani kwetu kwenye uzi wa eFootball na uzi wa korea utatukuta.
Familiya yetu Intelligent businessman adriz Selikavu Warld na tajiri yetu Depal 😂😂😂
Kwani wewe umeelezea nini kwenye bandiko madam? Huyo niliyemtag hapo anatafuta mwenza kama ufanyavyo.Ni ugumu gani naopitia mimi