Nimeshindwa kujizuia jamani

Nimeshindwa kujizuia jamani

Natamani kusema jambo lakini nahisi hii simu itakuwa imeibiwa na haiko mikono salama..

Wanawake tunaishi nao, inawezekana

1. Upo kwenye siku za kunasa mimba (nyakati hz mwili wa mwanamke huchangamka sana)

2. Inawezekana unaangalia picha na video zenye maudhui ya mahaba/ngono

3. Inawezekana ulikuwa haulazi damu kudinywa, sasa umekaa muda kidogo imeleta shida.
Hali hyo inaweza kukuletea "hysteria" (mnaita chekelea)

Jitahid sana kuoga maji ya barid sana, kuwa bize na kazi, epuka stori za kingono ngono, jitahid sana kutembea muda mrefu kwa miguu hata hatua elfu moja.
Nina mwaka na miezi tisa ,yaani miezi 21 sijawahi kutana na Me yeyote
 
Umalaya na alichoandika ni vitu viwili tofauti kabisa.

Hata kama ni malayahilo ni lake maana hakuna aliyemshuhudia akifanya huo umalaya.. Alichokiandika ni hisia zake kama binadamu yeyote.
Anaonekana malaya kwa sababu ya tatizo la mfumo dume tulionao.
Angeandika mwanaume kwa namna hiyo hiyo aliyoandika Marry angeonekana ni kidume na angepewa ushirikiano wa kutosha na miongozo lukuki namna ya kupata mbunye.

Marry pole, mpigie mhusika aje kutuliza hilo vumbi.
nikitoka mimi unafata wew kwenye positive mind huku JF 😎 ngoja tuendelee kuwatafuta wenzetu mdogo mdogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom