Mtaachana
JF-Expert Member
- Mar 27, 2025
- 1,946
- 6,582
Ana Akili mingikabisa marry hiyo haipingiki,, wew pia una akili
Ana Akili mingikabisa marry hiyo haipingiki,, wew pia una akili
Kwenye hayo mambo hamna mtakatifu wee. Hata ukirejea kwenye historia za hao walioitwa watakatifu basi nao pia walipatwa na kashfa. Hapana chezeya utamu wee. Hayo mambo hayana shekhe wala kadinaliila ukiwakuta wanavyo tunyooshea vidole sasa as if wao ni watakatifu,, labda shida yetu ni kujiachia sana ndo maan tunaonekana hatuna maadili🤭
hahah nimecheka et hapana chezea utamu alooooo😅😅,, mfano mzuri ni samsoni mbali na kuwa na minguvu yote ila mwishoe alilegezwa na kibinti kibichi au mfalume suleimani 👐Kwenye hayo mambo hamna mtakatifu wee. Hata ukirejea kwenye historia za hao walioitwa watakatifu basi nao pia walipatwa na kashfa. Hapana chezeya utamu wee. Hayo mambo hayana shekhe wala kadinali
hahah nimecheka et hapana chezea utamu alooooo😅😅,, mfano mzuri ni samsoni mbali na kuwa na minguvu yote ila mwishoe alilegezwa na kibinti kibichi au mfalume suleimani 👐
Kuna jamaa alimsave demu ake “Ngogwe” kisa ni mfupi alafu kipotabo. Demu alivoona akamuacha apo apo .Ngogwe ndo nini?
Yani wewe sijakupigia simu siku mbili tu ushaleta nyege zako huku?
Ni kilugha ganiKuna jamaa alimsave demu ake “Ngogwe” kisa ni mfupi alafu kipotabo. Demu alivoona akamuacha apo apo .
Ngogwe =Nyanya chungu.
Daaah wewe jamaa wewe..Hii kete inasukumwa kimkakati Sana, tumuombee shujaaa asije nasa.
Kwahiyo unahitaji Mechi?? 🤔🤔🤔Siweziii
Kashasema yeye hataki kujichua..anataka mechiChemsha maji vuguvugu
Nadhani imetoka kwa wasambaa.. kwa upande wa kaskazini ndo tulikua tunalitumia sanaNi kilugha gani
Kama wewe ni mwanaume, nahitaji kuwa na mtu mwenye uelewa huu.i wish ungekuwa my husband
Sasa mtu anajiita Red black na stori zake za punyeto unadhani anajua nini
SijuiNadhani imetoka kwa wasambaa.. kwa upande wa kaskazini ndo tulikua tunalitumia sana
Unazijua mboga zinaitwa Saro ?
Asa si umsaidie kijana hata wewe
🧔Shikamoon wakubwa zangu
Unajua kuna namna ukipita, au ukiwa kwenye Nyakati ngumu unajikuta, huwazi mambo ya ngono na huhitaji mpenzi.
Sasa kwasasa angalau nipo kwenye wakati mzuri. So kuna kitu nakuta nakikosa, mmmh nyege mbaya niwe mkweli nimeshindwa kukaza, mbaya zaidi hata mtu wangu hajawahi nipigia simu.
Tungekuwa wanawake tunatongoza, naona leo ningetafuta lakini, si taratibu zetu.
Ila hapanaaaaa, kuwasha si kuwasha viungo vimekaza, kazi zitanishinda leo.
Ngoja nitafute kitu cha kuniweka busy
Try meMpiga puchu wa nini , nianze kumshikashika Nani atake adhabu hiyo
Khafidh Zowa zowa kama huitaki Luz bol kumbe ushailisha ndoano nje ya Fensi.Hii kete inasukumwa kimkakati Sana, tumuombee shujaaa asije nasa.