de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 13,066
- 25,676
- Thread starter
- #81
I know ndo maana ni kakwambia kuwa sina hulka hizo..Hao watu self centered wewe ni mmojawapo. Yaani mtu akikupinga hoja yako unakuwa unachukulia kama mashambulizi kwako binafsi. Kama mtu ana-put your views down sio sababu ya kumtukana, watu humu tuko wengi sana sio kila utakachoandika kitakubalika au kueleweka na kila mtu.
Ila watu hawako na perspective hii hasa wakati wa kuleta hoja zao zenye pingamizi.