Nimerudi: Ban haikuwa haki, mods sikilizeni!

Pole sana mkuu
JF nao madikteta tu, wao wanapenda serikali ikosolewe ila ukiwakosoa wao wanakulima ban usitumie platform zao. Halafu huwa wanajidai wanapigania demokrasia na haki za watu ila ukiwagusa wao wanakubutua.
That's the thing iliyo nifanya nishangae sana

Like WTH? Yaani kumbe na jf napo kuna mambo ya kuzima na kuficha mada zenye kuchallenge platform..

Ukiwa ongelea tu, wanakuzima tena bila taarifa, na ukiwa Uliza as to why wamefanya vile wanakufungia usiwe na uwezo wa kuuliza tena
 
Umetoa comment ili nawe uonekane ama?

Unajua the reason behind my ban?

Na kingine una fuata umati unavyo sema kunihisu au unanifaham ya kuwa mimi ni Natafuta recognition?

Ni nyie ambao huwa mnaishia watu, toxicity then nasubiri mhusika a wajibu ili report yeye apigwe ban
Ulituambia mwenyewe kuwa unapenda kuwa centre of attention. Halafu punguza matusi, humu kuna watu wenye umri wa kukuzaa ukijiheshimu hutapungukiwa chochote
 
Mbona situkani..
Issue ni kuwa watu ukipingana nao kauli wanakuona threat...

Na kingine, umri hauko measurable na kauli mbaya, just because umeongea kitu kibaya age isn't an exception
 
Nilikutukana? Mimi sijawahi kuwa mtukanaji uliza hata wenyeji wa humu wananijua.
Nakumbuka ulisema nimeandika ujinga. Na nilivyo kurudishia maneno uliyo niambia ukai report ile comment yangu ikafutwa.

Nakumbuka vizuri... Shida ilianzia kwako baada ya wewe kupanic na kunijibu kwa mihemko
 
Nilikuambia punguza ujuaji, na nikakufafanulia kwa nini nimesema hivyo....na hata ningekuambia umeandika ujinga hilo wala sio tusi maana hata mimi kuna muda naandika ujinga. Na mimi ile comment hata sikuireport labda kama kuna mtu mwingine aliireport. Naandika haya sio kwa lengo la kukusuta ila nilikuwa napinga kauli yako kwamba huwa hautukani
 
Hata hivyo siku hizi sina hulka hizo.
Ila mtu akija na maneno machafu just for the sake of putting my views down, itabidi nimwambie ukweli. Kuna watu huwa wanakuwa self-centered sana
 
Vijana mnapenda sana attention
Hizi ni vijitabia vya jinsia Ke.
✓Kuja Dili/ jadiliwa
✓Kujionyesha/kujiongelesha
✓Kuanzisha vijimada uchwara daily
✓Kutokua na shughuli maalumu ya kukuongezea kipato hivo muda mwing kutumia mitandaoni
¥✓Kupigwa miti mwishowe.
 
Trash comments.
 
That's the thing iliyo nifanya nishangae sana

Like WTH? Yaani kumbe na jf napo kuna mambo ya kuzima na kuficha mada zenye kuchallenge platform..

Ukiwa ongelea tu, wanakuzima tena bila taarifa, na ukiwa Uliza as to why wamefanya vile wanakufungia usiwe na uwezo wa kuuliza tena
Ndo tabia yao. Ila wao wakifungiwa wanalalamika kwamba wameonewa, wataenda hadi balozi za nchi mbalimbali kuonesha wameonewa, wakati hatanwao ni waoneaji wakubwa wasiyopenda kukokosolewa.
 
Hata hivyo siku hizi sina hulka hizo.
Ila mtu akija na maneno machafu just for the sake of putting my views down, itabidi nimwambie ukweli. Kuna watu huwa wanakuwa self-centered sana
Hao watu self centered wewe ni mmojawapo. Yaani mtu akikupinga hoja yako unakuwa unachukulia kama mashambulizi kwako binafsi. Kama mtu ana-put your views down sio sababu ya kumtukana, watu humu tuko wengi sana sio kila utakachoandika kitakubalika au kueleweka na kila mtu.
 
Ndo tabia yao. Ila wao wakifungiwa wanalalamika kwamba wameonewa, wataenda hadi balozi za nchi mbalimbali kuonesha wameonewa, wakati hatanwao ni waoneaji wakubwa wasiyopenda kukokosolewa.
I never thought of it..
Sasa huo uhuru mbona hawa uishi sasa? Kama wao tu kupata challenges zenye kuwa jenga hawataki. Hawataki uoneshe sehemu wanayopaswa wabadilike
 
Back
Top Bottom